Kenya 2022 Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu

Kenya 2022 Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu

Kenya 2022 General Election
Kundi la watu wapatao 50 katika vitongoji vya Karen, waliweza kuingia katika mfumo wa IEBC wa ICT - Philip Murgor.
FbeeI6AWQAMU7gO.jpeg
 
Hapana dada yangu mpendwa, Kila mtu ana haki ya kusikilizwa.

Wanachofanya majaji ni kutoa haki ya kumsikiliza Odinga, ametaka baadhi ya vituo kura zihesabiwe tena wamemkubalia. Hana ushahidi ni kama anabahatisha bahatisha tu.

Utaniambia mwisho wake, Ukuniwila, ango?!
Na matokeo yakiwa ni kinyume chake urudi hapa hapa tena.Kwenye kesi hakuna kitu kidogo wala kikubwa.Mtu anaweza kushinda kesi kwa kipengele kidogo sana.Mahakamani lolote linaweza kutokea.Nachokukatalia wewe ni kuja na judgement yako moja kwa moja,unaendeshwa na mapenzi yako zaidi kwa Ruto na siyo facts zilipelekwa Mahakamani katika kufikia maamuzi yako ya 'kesi kutokuwa na foundation' umesikia nyegela waitu!
 
Back
Top Bottom