Kenya 2022 Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu

Kenya 2022 Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu

Kenya 2022 General Election
Mambo ya kupeleka kesi mahakamani kupinga urasi. Tz tuliona mbal mno yaan nitangazwe mshindi alfu mpinzani Akimbilie mahakamani siyo sawa sas wakija kubadilisha itakuaje

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ndio maana nyinyi ni wafu mnaotembea mchana!!!! how can you comment such a stupid thing katika ulimwengu wa demokrasia
 
aisee uchaguzi unaweza kurudiwa,spana zinazopigwa ni hatari
Chebukati alianza ubabe hata kabla ya uchaguzi wenyewe,two weeks akawapa majukumu tofauti kabisa kina Cherera,halafu yeye kabakia na ya kutangaza.Nimecheka Wakili mmoja kasema alijipa kazi ya kuwa MC wa kutangaza matokeo na siyo kuverify ambayo ndiyo kazi yake kubwa ikiwa ilipaswa kufanywa na yeye mwenyewe na Commisioners wenzie.
 
Na matokeo yakiwa ni kinyume chake urudi hapa hapa tena.Kwenye kesi hakuna kitu kidogo wala kikubwa.Mtu anaweza kushinda kesi kwa kipengele kidogo sana.Mahakamani lolote linaweza kutokea.Nachokukatalia wewe ni kuja na judgement yako moja kwa moja,unaendeshwa na mapenzi yako zaidi kwa Ruto na siyo facts zilipelekwa Mahakamani katika kufikia maamuzi yako ya 'kesi kutokuwa na foundation' umesikia nyegela waitu!
Nduhu ilumbuye, nene nate okwene, de sezayo, lina lyakwiyineka duhu ileneli!

Hapo juu nimekupoteza!

Tukirudi kwenye mada, itoshe tu kusema kwamba umeongea ukweli mchungu!
 
aisee uchaguzi unaweza kurudiwa, spana zinazopigwa ni hatari
Kuna hii picha wakati mahakamani mtifuano unaendelea jamaa anawaangalia kupitia sinema na kuongea kwa rununu basi RAO yupo vizuri ni vile jamaa wanampiga chini tu.
20220831_205142.jpg

Na muzee RAO kasema kama atakuwa kashinda basi si suala la kurudia uchaguzi bali atangazwe mshindi
.
 
Raila analiwa pesa bure, Orengo amepwaya sana, re count sampling imefanyika hakuna jipya lolote. Mawakili wake wameulizwa maswali mepesi tu hawana justification. Raila is an Epitome of loosing
 
Kuna hii picha wakati mahakamani mtifuano unaendelea jamaa anawaangalia kupitia sinema na kuongea kwa rununu basi RAO yupo vizuri ni vile jamaa wanampiga chini tu.
View attachment 2341244

Ila RAO kasema kama atakuwa kashinda basi si suala la kurudia uchaguzi bali kumtangaza mshindi.
Uchaguzi haurudiwi. Rutto is undisputtable winner. Hata hivyo uchaguzi ukirudiwa hata mara 50 Odinga will never win labda apewe tu urais nje ya msingi wa kura. Lakini je hiyo inawezekana?
 
Raila analiwa pesa bure, Orengo amepwaya sana, re count sampling imefanyika hakuna jipya lolote. Mawakili wake wameulizwa maswali mepesi tu hawana justification. Raila is an Epitome of loosing
Acha kupotosha!!??Hakuna wakili aliyejibu zaidi ya Philip Murgor ku clarify
CJ hakuwapa nafasi ya kujibu leo amewaambia wajibu maswali wakati wanafanya rejoinder......
On top of that hayo maswali yakijibiwa yanaclear doubt. Huoni kwamba wanalay ground for Raila win
 
Sio kweli labda kama ufatilii siasa za Kenya,MTU pekee ambaye wakenya wote wanamuogopa akiamua kuleta vurugu na jamii inaitikia ni Odinga.
Mara hii wamekataa ujinga... unaenda kupigania mwanasiasa kisha baada ya muda wanaenda kushikana mkono na kupeana ulaji bila mabadiliko yoyote huku wewe umekufa au kujeruhiwa..!

Odinga alitaka kuleta vurugu kwa kuwaambia makamishna 4 wa IEBC wakatae matokeo kabla ya kutangazwa huku nchi ikiwa kwenye tension ilikuwa na nia ya kuleta vurugu kama Chebukati angemtangaza Ruto, ila hakuna aliyefanya huo ujinga

Walikuwa wamemtisha Chebukati eti akimtangaza Ruto nchi itateketea..!

Juzi tena akaita watu wakakeshe nje ya mahakama kwa siku 7 akaona mwitikio hasi akahairisha
 
Back
Top Bottom