Jerlamarel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 843
- 2,525
- Thread starter
-
- #241
Teknolojia imerahisha maisha mkuu...Unatoa update vizr
Ni kweli ila pia shukran kwa hiki unachofanyaTeknolojia imerahisha maisha mkuu...
who do you think you are to reason such thing?Hakuna kesi hapo. Odinga hana ushahidi wowote, hoja 9 alizowakilisha ni kutaka tume ithibitishe kuwa njia walizotumia kufikia matokeo hazitoi mwanya wa kufanyika udanganyifu.
Hawana ushahidi wa wizi wa kura. Ni kama tu wanataka kura zihesabiwe upya.
Majaji wanatakiwa kutupilia mbali hii kesi, Haina foundation!