Kenya 2022 Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu

Kenya 2022 Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu

Kenya 2022 General Election
Kithure Kindiki: Je, kuondolewa kwa Cherera na makamishna wengine kutoka kwa mchakato walioshiriki hadi kukamilika kunaweza kuwa msingi wa kupinga matakwa ya uhuru wa Wakenya?
 
Githu Muigai anaeleza jinsi mamlaka ya Chebukati yanafanana na ya Jaji Mkuu.
 
George Oraro: NSAC haielekezi mashirika huru, inashauri tu juu ya usalama.
 
George Oraro: Hatuwezi kuacha kutweet lakini tusiilete kwa mahakama hii.
 
Paul Mwangi: Makamishna wa Bomas walikuwa wakisoma matokeo yaliyompa Ruto kura zaidi ya 10,000, kuonyesha hawakujua walichokuwa wakisoma.
 
Paul Mwangi anajibu jinsi marudio yangefanyika bila Chebukati.
 
Paul Mwangi akionesha fomu kutoka kwa tovuti ya IEBC karibu na hati yenye jina la "Jose Carmago" wa Venezuela.
 
Julie Soweto akionesha fomu kutoka kwa tovuti ya IEBC yenye stempu yenye matatizo.
 
Julie Soweto; Jose Camargo ndiye mtu aliyeamua Rais ajaye wa Kenya.
 
Kithure Kindiki anaeleza ni kwa nini Chebukati alilazimika kumtangaza rais mteule.
FbopWY1WAAASFvf.jpeg
 
Julie Soweto anaonyesha fomu mbili 34A kutoka kwa lango la IEBC, moja kutoka Bungoma na moja kutoka Nyeri, zinazotumwa kwa kutumia kifaa kimoja cha KIEMS.
 
Julie Soweto: Yeyote aliyenasa fomu 34A alikuwa na wakati wa kuamua ni zipi za kudanganya.
 
Otiende Amollo: Uamuzi wa Wengi wa makamishna ndio

uamuzi wa IEBC.
 
Back
Top Bottom