Kenya 2022 Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu

Kenya 2022 Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu

Kenya 2022 General Election
Nullification of the election is underway.Anayebisha ajitokeze naweka laki yy aweke jiwe
Nullification si rahisi hivo unafikiria. Lazma kuwe na makosa mengi sana kwenye process nzima au ukiukaji mkubwa wa katiba. Binafsi sidhani mawakili wa azimio wameweza kudhibitisha makosa mengi hivo kuwezesha nullification.
Ila hii issue ya chair wa iebc na makomishna wengine ndo itakua the elephant in the room
 
Conclusion yangu kwenye huu uchunguzi na case inayoendelea.
1. Supreme will uphold Ruto"s win. Sio kwa sababu ya kutokuwa na udanganyifu bali kuepusha gharama za kurudia chaguzi
2. Kulikuwa na udanganyifu wa kupanga, kwa lengo la kumnufaisha RUTO
3. Ruto ni smart thief, he outsmarted even the sitting president Kenyata!
4. DP Ruto was powerful man in Jubilee than Uhuru.
5.such brilliant mind deserves to be a president of Kenya
 
Nullification si rahisi hivo unafikiria. Lazma kuwe na makosa mengi sana kwenye process nzima au ukiukaji mkubwa wa katiba. Binafsi sidhani mawakili wa azimio wameweza kudhibitisha makosa mengi hivo kuwezesha nullification.
Ila hii issue ya chair wa iebc na makomishna wengine ndo itakua the elephant in the room
2017 ni kitu kidogo sana kwa macho ya ki layman kilipelekea nullification ya uchaguzi.Safari hii sijaona swali la Judges likijibiwa kwa ufasaha,kwa nini M/Kiti aliamua kujipa madaraka makubwa yeye na wenzie kuwanyima,lakini pia iweje kulikuwa na uharaka wa kutangaza matokeo,kwanini hakupata muda wa kusettle issues na wenzie.Naona hapo Mawakili wameruka ruka tu,hakuna aliyetoa jibu la kujitosheleza.
 
Conclusion yangu kwenye huu uchunguzi na case inayoendelea.
1. Supreme will uphold Ruto"s win. Sio kwa sababu ya kutokuwa na udanganyifu bali kuepusha gharama za kurudia chaguzi
2. Kulikuwa na udanganyifu wa kupanga, kwa lengo la kumnufaisha RUTO
3. Ruto ni smart thief, he outsmart even the sitting president Kenyata!
4. DP Ruto was powerful man in Jubilee than Uhuru.
5.such brilliant mind deserves to be a president Kenya
2017 kwa nini uchaguzi ulitenguliwa? Kama Ruto atapewa ushindi ni kwa sababu ya facts zilizokuwa presented in Court na siyo swala la kuepuka gharama.Kenya wamesha dare kurudia uchaguzi,hakuna jipya katika kutengua matokeo kama Mahakama itajiridhisha hivyo.
 
Nullification si rahisi hivo unafikiria. Lazma kuwe na makosa mengi sana kwenye process nzima au ukiukaji mkubwa wa katiba. Binafsi sidhani mawakili wa azimio wameweza kudhibitisha makosa mengi hivo kuwezesha nullification.
Ila hii issue ya chair wa iebc na makomishna wengine ndo itakua the elephant in the room
You are entitled to your opinion. Mine election will be nullified.
 
Mimi ni mkenya na mfwasi wa raila ila nafeel kesi ya mwaka huu si nzito vile kama ya 2017. Itakua miujiza majaji angalau wanne wakiunga mkono kutenguliwa kwa uchaguzi
Just to insight you 2017 Akombe ofisa ndie alikuwa wa kwanza kuzungumza uchafu wa uchaguzi ule. Now we hv 4 commissioners dicenting!!??Think
 
Phillip Murgor: Programu inayoweza kuhariri hati ya PDF ni bure kwenye mtandao na ni pamoja na: Adobe acrobat dc, Foxit PDF editor n.k.
 
Fred Ngatia: Picha zinazoonyeshwa na timu ya Azimio si za kweli.
 
James Orengo: Nilikuwa nikiigiza michezo ya kuigiza kila mwaka katika shule ya upili ya Alliance.
 
Back
Top Bottom