Sawa ngoja nisubiri wakati ujaoHahahaaaa.. polee. Next time ntakuita kabla sijaanza kupika
Weekend hii nilimpumzisha dada kupika nikaingia jikoni mwenyewe. Dada wangu wa kazi anajua kupika hivyo mara nyingi namuachia apike yeye. Jana nilipika biriani ya nyama nikasahau picha. Leo jioni nimepika hizo TAMBI ZA NYAMA YA KUSAGA. Alie karibu asogee kula. View attachment 833872
ila mimi napenda Tambi refu refu kidogo... naona zako umekata fupi.Aseeh.. shukrani.
Hivi kuna spaghetti sauce? Ntaitafuta next time niitumie. Nimeweka tumeric cumin na giligilani (huwa nablend huo mchanganyiko na mafuta naweka kwenye fridge nikitaka kupika nachota naweka) kwenye nyama wakati nachemsha. Sipendi maviungo wakati wa kupika natumiaga wakati wa kuchemsha au kukaanga.Hakuna spaghetti sauce??
Umeweka viungo gani? Tumeric? Cumin? Curry?
Ndefu zinaboa bwana wakati wa kula.. nimekata fupi fupi pia kwa ajili ya mtoto.
fupi zinahitaji wataalam kama nyie la sivyo kwangu zitakuwa ugali...siku nikipika nitaweka picha hapa ucheke.Ndefu zinaboa bwana wakati wa kula.. nimekata fupi fupi pia kwa ajili ya mtoto.