Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Weekend hii nilimpumzisha dada kupika nikaingia jikoni mwenyewe. Dada wangu wa kazi anajua kupika hivyo mara nyingi namuachia apike yeye. Jana nilipika biriani ya nyama nikasahau picha. Leo jioni nimepika hizo TAMBI ZA NYAMA YA KUSAGA. Alie karibu asogee kula.