Mapokezi kesho Arusha: Watu wanalazimishwa kufanya usafi

Mapokezi kesho Arusha: Watu wanalazimishwa kufanya usafi

Hiyo Kesho shamra shamra za kuzindua Filamu Arusha.

Watu wanalazimishwa kutoka na kufanya usafi mitaani.

Kama ni udikteta ndio huu.
Mkuu ni mtaa upi huo watu wamelazimishwa?ni nani anawalazimisha?manake mimi sijakutana na kadhia hiyo na ninafanyia shughuli zangu katikati ya mji,wala sijaona mahali popote huku mjini watu wanalazimishwa.

Halafu hata wangelazimishwa nadhani sio mbaya kulazimisha jambo zuri.
 
Mkuu ni mtaa upi huo watu wamelazimishwa?ni nani anawalazimisha?manake mimi sijakutana na kadhia hiyo na ninafanyia shughuli zangu katikati ya mji,wala sijaona mahali popote huku mjini watu wanalazimishwa. Halafu hata wangelazimishwa nadhani sio mbaya kulazimisha jambo zuri.
Jana usiku niliona mabango mapya ya mama wanayabandika, kuanzia sanawari pale kuja town
 
Hiyo Kesho shamra shamra za kuzindua Filamu Arusha.

Watu wanalazimishwa kutoka na kufanya usafi mitaani.

Kama ni udikteta ndio huu.
Acha porojo vipi zilizokuwa enzi zako za kuimba mapambio,bila kujali pambio baya au zuri
Watu wanageuka mateka ndani ya nchi yao.
Tena ni Bora sana aliyebahatika kuwa mateka TU na hatimaye akarejea salama
 
Hiyo filamu inabidi kwa lazima Mawaziri na Naibu wao, Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nchi za nje, Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Watendaji wakuu wa Wizara, Taasisi za Serikali, Wabunge wa CCM wainunue hiyo fialmu kupitia mtandao wa Amazon.
 
Nimemuona PRESIDENT wa machawa MWIJAKU yuko ARACHUGA anahamasisha waendesha daladala kwenda kumpokea chief Hangaya anaporudi toka ughaibuni!
 
Nimemuona PRESIDENT wa machawa MWIJAKU yuko ARACHUGA anahamasisha waendesha daladala kwenda kumpokea chief Hangaya anaporudi toka ughaibuni!
Aisee hivi mpaka itumike nguvu namna hii??

Au kisa filamu imekosa mvuto??
 
Ni ujinga na ni ndio kipimo cha elimu ya Tanzania.

Hapo hapo Arusha dikteta wa chato alilazimisha wanafunzi kwenda kumsikiliza wakawa wanasombwa muda wa vipindi.

Shule moja walipokataa wakapigwa drni la bilioni 6.
 
Back
Top Bottom