Mapokezi kesho Arusha: Watu wanalazimishwa kufanya usafi

Mapokezi kesho Arusha: Watu wanalazimishwa kufanya usafi

Ni ujinga na ni ndio kipimo cha elimu ya Tanzania.

Hapo hapo Arusha dikteta wa chato alilazimisha wanafunzi kwenda kumsikiliza wakawa wanasombwa muda wa vipindi.

Shule moja walipokataa wakapigwa drni la bilioni 6.
Wanaambiwa amiri jeshi mkuu anakuja

Wajiandae.
 
Ni ujinga na ni ndio kipimo cha elimu ya Tanzania.

Hapo hapo Arusha dikteta wa chato alilazimisha wanafunzi kwenda kumsikiliza wakawa wanasombwa muda wa vipindi.

Shule moja walipokataa wakapigwa drni la bilioni 6.
Mungu ni mwema wakati wote
 
Hiyo Kesho shamra shamra za kuzindua Filamu Arusha.

Watu wanalazimishwa kutoka na kufanya usafi mitaani.

Kama ni udikteta ndio huu.
Mkuu watu wana lazimiswa wakampokeee Chifu, mimi labda wanipe pesa ila sitaenda, hadi usiku huu Gari inazunguka kuhamasisha watu wajitokeze
 
Hiyo Kesho shamra shamra za kuzindua Filamu Arusha.

Watu wanalazimishwa kutoka na kufanya usafi mitaani.

Kama ni udikteta ndio huu.
Kweli ni udictator, lakini haukuti ule wa yule kiongozi muovu aliyeko motoni.
 
Hiyo Kesho shamra shamra za kuzindua Filamu Arusha.

Watu wanalazimishwa kutoka na kufanya usafi mitaani.

Kama ni udikteta ndio huu.
Kwan ule usafi wa kila jumamosi
Ilikuwaje,mzee mbn sahv unakuwa mtu wa kulalamika

Ova
 
Usafi ni jambo la Kila siku ( endelevu).
Asiyefanya usafi ni mchafu, goigoi anayestahili kulazimishwa.
Ni lazima kufanya usafi, kuwepo uzinduzi au hakuna.
 
Hiyo Kesho shamra shamra za kuzindua Filamu Arusha.

Watu wanalazimishwa kutoka na kufanya usafi mitaani.

Kama ni udikteta ndio huu.
vumilia tu, maana yatima hadeki. kama vipi nenda kachimbe pembeni nawe ujizike hapo.
 
Kwan ule usafi wa kila jumamosi
Ilikuwaje,mzee mbn sahv unakuwa mtu wa kulalamika

Ova
Hizi nguvu zingetumika kuhamasisha mambo mengine ya msingi tungekua mbali sana.
 
Acha ujinga boya wewe, kwahiyo usafi nao unataka wafanye serikali?
Haipendezi kumlazimisha mtu afanye usafi kisa movie tu.

Wewe hapo kwako huwa unadeki chumba kabla ya kutazama movie??
 
Hiyo Kesho shamra shamra za kuzindua Filamu Arusha.

Watu wanalazimishwa kutoka na kufanya usafi mitaani.

Kama ni udikteta ndio huu.
Uwe nakili kabla yakuandika usafi nimuhimu na sio swala la hiyari nilazima usipofanya kwa hiyari juwa utalazimishwa kwa nikitu muhimu katika afya yako wangefanya usafi kabla yahapo wasinge lazimishwa au ulitaka mwenge uje ukufanyie usafi inaonekana hata nguo zako hufui ukinisogelea Mimi nitakulazimisha uzifue harufu mbaya haitakiwi
 
Back
Top Bottom