Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Filamu imekuwa ni issue sensitive badala ya miradi ya maendeleo, utawala mbovu kabisaWananchi wanahitaji mno kuhamasishwa kwenye shughuli za maendeleo na sio kufanya usafi kisa uzinduzi wa filamu.