NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Asante kwa ufafanuziAcha ujinga wewe. Waliopopolewa mawe ni gari la muziki la Chadema wakati Lissu ameshaondoka kwenye mkutano. Walifanya ujanja kumtanguliza Lissu tena ni hao polisi ili wapige mawe hilo gari la matangazo ambalo lilibaki nyuma. Huo ni mkutano wa Chato ingawa pia walitokea wanaccm wachache wakaanza kuzomea wakati mkutano unaendelea ila wakapigwa wakakimbia na mkutano ukaendelea kama kawaida.
Ile video ni baada ya Lissu kupata habari kuwa gari yao ya vifaa vya muziki iliyobaki nyuma imeshambuliwa kwa mawe ndipo akasema kuwa haondoki hadi gari yao ifike ili waondoke pamoja. Lissu alifanya mkutano Chato na hiyo ni picha ya mkutano wake Chato.
Ndio Kawaida yenu kuwa na Misemo yakujazano Upepo tu kwa Vibendera WenzieKutendewa jambo hili mahali ambapo ndio kama shina lako lilipo linakufunulia jambo kubwa sana ambalo unapaswa kutulia na kulitafakari kwa kina
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina lako la Polokwane ni zuri mno lakini inaonekana unaufinyu wa ukweli,Tanzania ni yetu sote na hakuna mwenye hati miliki ya nchi,President Pombe anaweza fanya siasa singida ila Mgombea wa Chadema hawezi fanya siasa chato,huu ni ushenzi wa hali ya juu.Polokwane kuna uhuru na haki sasa wewe mbona hutaki haya yatokee ndani ya chato?binafsi wewe ni mchochezi na mwongo usiyeitakia nchi yetu Amani.Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
Ahsante kwa taarifa. wafuasi wa chama cha mazuzu (ccm) wanaweweseka. anasema picha siyo ya chato ukimuuliza ya wapi anatoa povu.Acha ujinga wewe. Waliopopolewa mawe ni gari la muziki la Chadema wakati Lissu ameshaondoka kwenye mkutano. Walifanya ujanja kumtanguliza Lissu tena ni hao polisi ili wapige mawe hilo gari la matangazo ambalo lilibaki nyuma. Huo ni mkutano wa Chato ingawa pia walitokea wanaccm wachache wakaanza kuzomea wakati mkutano unaendelea ila wakapigwa wakakimbia na mkutano ukaendelea kama kawaida.
Ile video ni baada ya Lissu kupata habari kuwa gari yao ya vifaa vya muziki iliyobaki nyuma imeshambuliwa kwa mawe ndipo akasema kuwa haondoki hadi gari yao ifike ili waondoke pamoja. Lissu alifanya mkutano Chato na hiyo ni picha ya mkutano wake Chato.
Eleza hiyo picha ya wapi?Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
Sawa mkuu yana mwisho ipo siku utakutwa amekatwa panga ndugu yako !Furaha yako itaongezeka zaidi ya hiiSema alitandikwa mawe
Kaka mawe ni jambo la kupangwa. Watu wanalipwa kwa kazi hiyo, kisiasa halimjengi aliyepanga. Watu wanapiga kura za hasira kupinga hicho kitendoSema alitandikwa mawe
Inawezekana wakazi wa Chato walikuwa wanaogopa kuwaeleza Watanzania kuwa ‘na sisi ni binadamu wenzenu tunaumia’, lkn kwa kujitokeza kwa wingi kiasi kile pengine zaidi ya walivyompokea Magufuli, ni dalili kuwa hata wao wamechoshwa na vile mtoto wao jirani yao Rais Magufuli alivyokuwa akiwatendea.
Tukiondoa vitendo vichache vya hapa na pale vya kupangwa alivyofanyiwa Lissu Chato, kitendo wachoonyesha ni sawa na kupeleka ujumbe kuwa tumepata sehemu angalau ya kupumulia, kutolea hisia zetu kwa vitendo.
Na mara nyingi mtoto akiwa na shida huogopa kumwambia baba yake lkn akija mjomba hujieleza bila hofu, wakazi wa Chato wamejieleza wazi.
Wenye akili tu wataelewa.
View attachment 1599379
Sas kama amachukiwa hivi siku akistaafu ataongea na nani, si vijana watakuwa wanamzomea akipita mitaaChato wamefunika. Huu ni ujumbe kwa mzee baba kwamba hata wakunyumba wamemchoka.
Hawamtakiii.
Aibu yao,
slow slow ataambia nini watu.
Ni kweli hata pata ,Mbona Magufuli anapiga magoti kuomba kura?Mbona anatumia NEC na polisi kupata kura ,Mbona mnatumia nguvu nyingi kuomba ridhaa tena,Mbona mawe tena !Lissu go LissuNdio Kawaida yenu kuwa na Misemo yakujazano Upepo tu kwa Vibendera Wenzie
Lakini Ukweli utabakia pale pale Huyo Hata 20% hatapata na Urais Atausikia tu JF kwa Vibendera wenye ID kumi kumi
Asante kwa ufafanuzi Mkuu, hawa mataga utopolo kazi yao ni kupotosha tu.Acha ujinga wewe. Waliopopolewa mawe ni gari la muziki la Chadema wakati Lissu ameshaondoka kwenye mkutano. Walifanya ujanja kumtanguliza Lissu tena ni hao polisi ili wapige mawe hilo gari la matangazo ambalo lilibaki nyuma. Huo ni mkutano wa Chato ingawa pia walitokea wanaccm wachache wakaanza kuzomea wakati mkutano unaendelea ila wakapigwa wakakimbia na mkutano ukaendelea kama kawaida.
Ile video ni baada ya Lissu kupata habari kuwa gari yao ya vifaa vya muziki iliyobaki nyuma imeshambuliwa kwa mawe ndipo akasema kuwa haondoki hadi gari yao ifike ili waondoke pamoja. Lissu alifanya mkutano Chato na hiyo ni picha ya mkutano wake Chato.
Ukubali usikubali habari ndio hiyo watu walikuwa ni wengi Chato sasaiv habari ni Lissu tuHapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
Mlichobaki sasa hivi kila mwana CCM kutaja asilimia ya kura atakazopata Lisu. Sijui tafiti hizo mlifanyia vyumbani mwenu!!Ndio Kawaida yenu kuwa na Misemo yakujazano Upepo tu kwa Vibendera Wenzie
Lakini Ukweli utabakia pale pale Huyo Hata 20% hatapata na Urais Atausikia tu JF kwa Vibendera wenye ID kumi kumi
Wivu sina ila roho inaumaa.. naimba tu Mkuu. Jiwe anaenda KUSHANGAZWA pakubwa, ninyi WAPORAJI wa mabox na nakala za kura mtakua na kibarua kigumu sana mwaka huu.Ndio Kawaida yenu kuwa na Misemo yakujazano Upepo tu kwa Vibendera Wenzie
Lakini Ukweli utabakia pale pale Huyo Hata 20% hatapata na Urais Atausikia tu JF kwa Vibendera wenye ID kumi kumi
Usipende kuwa na ubishi wa kijuha, utaliwa kijambio.Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
Haitafaa tena,ila itatupwa na kukanyagwa na watu.Chumvi ikiharibika ifanywe nini hadi ikolee?
Ungeweka na wewe picha yako ya hiyo jioni unayosema ili tuone utofauti.Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine