Uchaguzi 2020 Mapokezi makubwa aliyopewa Lissu na wakazi wa Chato yana ujumbe mkubwa uliokuwa umejificha mioyoni mwao

Acha ujinga wewe. Waliopopolewa mawe ni gari la muziki la Chadema wakati Lissu ameshaondoka kwenye mkutano. Walifanya ujanja kumtanguliza Lissu tena ni hao polisi ili wapige mawe hilo gari la matangazo ambalo lilibaki nyuma. Huo ni mkutano wa Chato ingawa pia walitokea wanaccm wachache wakaanza kuzomea wakati mkutano unaendelea ila wakapigwa wakakimbia na mkutano ukaendelea kama kawaida.

Ile video ni baada ya Lissu kupata habari kuwa gari yao ya vifaa vya muziki iliyobaki nyuma imeshambuliwa kwa mawe ndipo akasema kuwa haondoki hadi gari yao ifike ili waondoke pamoja. Lissu alifanya mkutano Chato na hiyo ni picha ya mkutano wake Chato.
Asante kwa ufafanuzi
 
Kutendewa jambo hili mahali ambapo ndio kama shina lako lilipo linakufunulia jambo kubwa sana ambalo unapaswa kutulia na kulitafakari kwa kina

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio Kawaida yenu kuwa na Misemo yakujazano Upepo tu kwa Vibendera Wenzie
Lakini Ukweli utabakia pale pale Huyo Hata 20% hatapata na Urais Atausikia tu JF kwa Vibendera wenye ID kumi kumi
 
Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
Jina lako la Polokwane ni zuri mno lakini inaonekana unaufinyu wa ukweli,Tanzania ni yetu sote na hakuna mwenye hati miliki ya nchi,President Pombe anaweza fanya siasa singida ila Mgombea wa Chadema hawezi fanya siasa chato,huu ni ushenzi wa hali ya juu.Polokwane kuna uhuru na haki sasa wewe mbona hutaki haya yatokee ndani ya chato?binafsi wewe ni mchochezi na mwongo usiyeitakia nchi yetu Amani.
 
Acha ujinga wewe. Waliopopolewa mawe ni gari la muziki la Chadema wakati Lissu ameshaondoka kwenye mkutano. Walifanya ujanja kumtanguliza Lissu tena ni hao polisi ili wapige mawe hilo gari la matangazo ambalo lilibaki nyuma. Huo ni mkutano wa Chato ingawa pia walitokea wanaccm wachache wakaanza kuzomea wakati mkutano unaendelea ila wakapigwa wakakimbia na mkutano ukaendelea kama kawaida.

Ile video ni baada ya Lissu kupata habari kuwa gari yao ya vifaa vya muziki iliyobaki nyuma imeshambuliwa kwa mawe ndipo akasema kuwa haondoki hadi gari yao ifike ili waondoke pamoja. Lissu alifanya mkutano Chato na hiyo ni picha ya mkutano wake Chato.
Ahsante kwa taarifa. wafuasi wa chama cha mazuzu (ccm) wanaweweseka. anasema picha siyo ya chato ukimuuliza ya wapi anatoa povu.
 
Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
Eleza hiyo picha ya wapi?
 
Inawezekana wakazi wa Chato walikuwa wanaogopa kuwaeleza Watanzania kuwa ‘na sisi ni binadamu wenzenu tunaumia’, lkn kwa kujitokeza kwa wingi kiasi kile pengine zaidi ya walivyompokea Magufuli, ni dalili kuwa hata wao wamechoshwa na vile mtoto wao jirani yao Rais Magufuli alivyokuwa akiwatendea.

Tukiondoa vitendo vichache vya hapa na pale vya kupangwa alivyofanyiwa Lissu Chato, kitendo wachoonyesha ni sawa na kupeleka ujumbe kuwa tumepata sehemu angalau ya kupumulia, kutolea hisia zetu kwa vitendo.

Na mara nyingi mtoto akiwa na shida huogopa kumwambia baba yake lkn akija mjomba hujieleza bila hofu, wakazi wa Chato wamejieleza wazi.

Wenye akili tu wataelewa.

View attachment 1599379

Hahahahahaha chadema bhana hivi kweli hao wanaweza zidi walio mpokea Magufuli? Hahahahaha hata iweje hapo chadema hawawezi kushinda hata kidogo hahahag
 
Ndio Kawaida yenu kuwa na Misemo yakujazano Upepo tu kwa Vibendera Wenzie
Lakini Ukweli utabakia pale pale Huyo Hata 20% hatapata na Urais Atausikia tu JF kwa Vibendera wenye ID kumi kumi
Ni kweli hata pata ,Mbona Magufuli anapiga magoti kuomba kura?Mbona anatumia NEC na polisi kupata kura ,Mbona mnatumia nguvu nyingi kuomba ridhaa tena,Mbona mawe tena !Lissu go Lissu
 
Acha ujinga wewe. Waliopopolewa mawe ni gari la muziki la Chadema wakati Lissu ameshaondoka kwenye mkutano. Walifanya ujanja kumtanguliza Lissu tena ni hao polisi ili wapige mawe hilo gari la matangazo ambalo lilibaki nyuma. Huo ni mkutano wa Chato ingawa pia walitokea wanaccm wachache wakaanza kuzomea wakati mkutano unaendelea ila wakapigwa wakakimbia na mkutano ukaendelea kama kawaida.

Ile video ni baada ya Lissu kupata habari kuwa gari yao ya vifaa vya muziki iliyobaki nyuma imeshambuliwa kwa mawe ndipo akasema kuwa haondoki hadi gari yao ifike ili waondoke pamoja. Lissu alifanya mkutano Chato na hiyo ni picha ya mkutano wake Chato.
Asante kwa ufafanuzi Mkuu, hawa mataga utopolo kazi yao ni kupotosha tu.
 
Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
Ukubali usikubali habari ndio hiyo watu walikuwa ni wengi Chato sasaiv habari ni Lissu tu
 
Ndio Kawaida yenu kuwa na Misemo yakujazano Upepo tu kwa Vibendera Wenzie
Lakini Ukweli utabakia pale pale Huyo Hata 20% hatapata na Urais Atausikia tu JF kwa Vibendera wenye ID kumi kumi
Mlichobaki sasa hivi kila mwana CCM kutaja asilimia ya kura atakazopata Lisu. Sijui tafiti hizo mlifanyia vyumbani mwenu!!
 
Mr. Intaprinyuaa hapendwi popote pale. Sema tu kwakuwa ana mamlaka juu ya fedha na majeshi watu humpamba ili wapate kuishi salama na kulisha familia zao
 
Ndio Kawaida yenu kuwa na Misemo yakujazano Upepo tu kwa Vibendera Wenzie
Lakini Ukweli utabakia pale pale Huyo Hata 20% hatapata na Urais Atausikia tu JF kwa Vibendera wenye ID kumi kumi
Wivu sina ila roho inaumaa.. naimba tu Mkuu. Jiwe anaenda KUSHANGAZWA pakubwa, ninyi WAPORAJI wa mabox na nakala za kura mtakua na kibarua kigumu sana mwaka huu.
 
Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
Usipende kuwa na ubishi wa kijuha, utaliwa kijambio.
Nilidhani unabisha sababu unapafahamu Chato kumbe unabisha kwa sababu ya muda!! Kwa taarifa yako tu ni kwamba ukiwa Chato mpaka saa moja jua linaonekana likiwa linaishis.

Nime attach clips mbili hapo chini kwa faida yako.
Moja akiwa anahutubia kwa kifupi sababu muda umekwenda.
Ya pili ni baada ya mkutano nje kabisa ya huo muda uliokwenda.

Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
Ungeweka na wewe picha yako ya hiyo jioni unayosema ili tuone utofauti.
 
Back
Top Bottom