Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Mkuu naona kivuli pembeni ya picha halafu picha haionekani vizuriKutendewa jambo hili mahali ambapo ndio kama shina lako lilipo linakufunulia jambo kubwa sana ambalo unapaswa kutulia na kulitafakari kwa kina
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii picha mbona ni Tunduma bwashee?Inawezekana wakazi wa Chato walikuwa wanaogopa kuwaeleza Watanzania kuwa ‘na sisi ni binadamu wenzenu tunaumia’, lkn kwa kujitokeza kwa wingi kiasi kile pengine zaidi ya walivyompokea Magufuli, ni dalili kuwa hata wao wamechoshwa na vile mtoto wao jirani yao Rais Magufuli alivyokuwa akiwatendea.
Tukiondoa vitendo vichache vya hapa na pale vya kupangwa alivyofanyiwa Lissu Chato, kitendo wachoonyesha ni sawa na kupeleka ujumbe kuwa tumepata sehemu angalau ya kupumulia, kutolea hisia zetu kwa vitendo.
Na mara nyingi mtoto akiwa na shida huogopa kumwambia baba yake lkn akija mjomba hujieleza bila hofu, wakazi wa Chato wamejieleza wazi.
Wenye akili tu wataelewa.
View attachment 1599379
Taja vigezo ulivyotumia kubaini kutoka kwenye picha ili tuamini hii argument yako.Hii picha mbona ni Tunduma bwashee?
Nyie si mnafanya fiesta na kubeba watu lazima mchukie kwa gharama za kipuuziHahahahahaha chadema bhana hivi kweli hao wanaweza zidi walio mpokea Magufuli? Hahahahaha hata iweje hapo chadema hawawezi kushinda hata kidogo hahahag
Chato hawezi kuwa na mjomba snitch na tumbafu kama huyo.Lissu ni mjomba wa wana Chato
Kwanza hapo siyo Chato. Pili sijui mnaangaika na nini wakati mshindi wa uchaguzi huu tayari ameishajulikana ila anatubiri kuapishwa tu.Inawezekana wakazi wa Chato walikuwa wanaogopa kuwaeleza Watanzania kuwa ‘na sisi ni binadamu wenzenu tunaumia’, lkn kwa kujitokeza kwa wingi kiasi kile pengine zaidi ya walivyompokea Magufuli, ni dalili kuwa hata wao wamechoshwa na vile mtoto wao jirani yao Rais Magufuli alivyokuwa akiwatendea.
Tukiondoa vitendo vichache vya hapa na pale vya kupangwa alivyofanyiwa Lissu Chato, kitendo wachoonyesha ni sawa na kupeleka ujumbe kuwa tumepata sehemu angalau ya kupumulia, kutolea hisia zetu kwa vitendo.
Na mara nyingi mtoto akiwa na shida huogopa kumwambia baba yake lkn akija mjomba hujieleza bila hofu, wakazi wa Chato wamejieleza wazi.
Wenye akili tu wataelewa.
View attachment 1599379
We boya hujui jion na mchana apo pana juaHapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
Kama mwenyew unajiita kiporo Cha wali tunda unafikiri huko kichwani kwako Kuna kitu ni uahuzi tuuu wa hayo maharage na wali wake mwakaaa huuu na maahati yenu ya kisamvu mtalia ugali wa JiweChato hawezi kuwa na mjomba snitch na tumbafu kama huyo.
Akili ndogo bhanaKwanza hapo siyo Chato. Pili sijui mnaangaika na nini wakati mshindi wa uchaguzi huu tayari ameishajulikana ila anatubiri kuapishwa tu.
Kama siyo Chato ni wapi? Ulikuwepo Chato wakati Lissu anahutubia?Kwanza hapo siyo Chato. Pili sijui mnaangaika na nini wakati mshindi wa uchaguzi huu tayari ameishajulikana ila anatubiri kuapishwa tu.
Ni wapi hapo?Kwanza hapo siyo Chato. Pili sijui mnaangaika na nini wakati mshindi wa uchaguzi huu tayari ameishajulikana ila anatubiri kuapishwa tu.
Yaani safari hii mtaedit hadi mtakoma, hapo siyo CHATO kwwnza ndiyo maana mmeogopa hata kuleta clip kama mlivyozowea, mwisho jana wanachato halisi wamewaonyesha kwamba CHATO siyo sehemu ya mashoga.Inawezekana wakazi wa Chato walikuwa wanaogopa kuwaeleza Watanzania kuwa ‘na sisi ni binadamu wenzenu tunaumia’, lkn kwa kujitokeza kwa wingi kiasi kile pengine zaidi ya walivyompokea Magufuli, ni dalili kuwa hata wao wamechoshwa na vile mtoto wao jirani yao Rais Magufuli alivyokuwa akiwatendea.
Tukiondoa vitendo vichache vya hapa na pale vya kupangwa alivyofanyiwa Lissu Chato, kitendo wachoonyesha ni sawa na kupeleka ujumbe kuwa tumepata sehemu angalau ya kupumulia, kutolea hisia zetu kwa vitendo.
Na mara nyingi mtoto akiwa na shida huogopa kumwambia baba yake lkn akija mjomba hujieleza bila hofu, wakazi wa Chato wamejieleza wazi.
Wenye akili tu wataelewa.
View attachment 1599379
Wewe ndiyo uache ujinga,Hiyo ni picha ya jana Chatu sijui Chato.Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
Akiwa sawa na tundu lissu afadhali kufilia mbali nikamzika. Mtu anayetumia watu ili anufaike wanini Kuishi hapa dunianiSawa mkuu yana mwisho ipo siku utakutwa amekatwa panga ndugu yako !Furaha yako itaongezeka zaidi ya hii
Bwashee nyie wazee waleeni vijana wenu waambieni zama zimebadilika tutaviulia mbali huku mwenyekiti wao anaviangalia ona hapo polisi wala hajamsaidia kama alivyotegemea.Hii picha mbona ni Tunduma bwashee?
Kaka CHATO jana wameoga aibu kubwa sana na hawatarudia kufanya ujinga CHATOHapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
Ni kutupwa nje na kukanyagwa na watu. NdukiiiiiChumvi ikiharibika ifanywe nini hadi ikolee?
Lissu amepopolewa mawe huko chato acha kudanganya watu. Hiyo picha pia siyo ya chato acha kuamisha watu uongo.Inawezekana wakazi wa Chato walikuwa wanaogopa kuwaeleza Watanzania kuwa ‘na sisi ni binadamu wenzenu tunaumia’, lkn kwa kujitokeza kwa wingi kiasi kile pengine zaidi ya walivyompokea Magufuli, ni dalili kuwa hata wao wamechoshwa na vile mtoto wao jirani yao Rais Magufuli alivyokuwa akiwatendea.