Uchaguzi 2020 Mapokezi makubwa aliyopewa Lissu na wakazi wa Chato yana ujumbe mkubwa uliokuwa umejificha mioyoni mwao

Inawezekana wakazi wa Chato walikuwa wanaogopa kuwaeleza Watanzania kuwa ‘na sisi ni binadamu wenzenu tunaumia’, lkn kwa kujitokeza kwa wingi kiasi kile pengine zaidi ya walivyompokea Magufuli, ni dalili kuwa hata wao wamechoshwa na vile mtoto wao jirani yao Rais Magufuli alivyokuwa akiwatendea.

Tukiondoa vitendo vichache vya hapa na pale vya kupangwa alivyofanyiwa Lissu Chato, kitendo wachoonyesha ni sawa na kupeleka ujumbe kuwa tumepata sehemu angalau ya kupumulia, kutolea hisia zetu kwa vitendo.

Na mara nyingi mtoto akiwa na shida huogopa kumwambia baba yake lkn akija mjomba hujieleza bila hofu, wakazi wa Chato wamejieleza wazi.

Wenye akili tu wataelewa.

View attachment 1599379
Hii picha mbona ni Tunduma bwashee?
 
Hahahahahaha chadema bhana hivi kweli hao wanaweza zidi walio mpokea Magufuli? Hahahahaha hata iweje hapo chadema hawawezi kushinda hata kidogo hahahag
Nyie si mnafanya fiesta na kubeba watu lazima mchukie kwa gharama za kipuuzi
CDM wanauza sera sio sura pimbi maji ww
 
Inawezekana wakazi wa Chato walikuwa wanaogopa kuwaeleza Watanzania kuwa ‘na sisi ni binadamu wenzenu tunaumia’, lkn kwa kujitokeza kwa wingi kiasi kile pengine zaidi ya walivyompokea Magufuli, ni dalili kuwa hata wao wamechoshwa na vile mtoto wao jirani yao Rais Magufuli alivyokuwa akiwatendea.

Tukiondoa vitendo vichache vya hapa na pale vya kupangwa alivyofanyiwa Lissu Chato, kitendo wachoonyesha ni sawa na kupeleka ujumbe kuwa tumepata sehemu angalau ya kupumulia, kutolea hisia zetu kwa vitendo.

Na mara nyingi mtoto akiwa na shida huogopa kumwambia baba yake lkn akija mjomba hujieleza bila hofu, wakazi wa Chato wamejieleza wazi.

Wenye akili tu wataelewa.

View attachment 1599379
Kwanza hapo siyo Chato. Pili sijui mnaangaika na nini wakati mshindi wa uchaguzi huu tayari ameishajulikana ila anatubiri kuapishwa tu.
 
Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
We boya hujui jion na mchana apo pana jua
 
Habari njema ni kwamba uelewa wa Watanzania kujitambua ni mkubwa sana. Hongereni wana Chato. Haki huinua taifa,Kaijage na NEC pamoja na madhaifu vikwazo ,vitisho simamieni HAKI. Polisi wetu msikubali kutumika hamna sababu ,mnapaswa kusimama imara timizeni wajibu wenu wa msingi.
 
Kwanza hapo siyo Chato. Pili sijui mnaangaika na nini wakati mshindi wa uchaguzi huu tayari ameishajulikana ila anatubiri kuapishwa tu.
Kama siyo Chato ni wapi? Ulikuwepo Chato wakati Lissu anahutubia?
 
Inawezekana wakazi wa Chato walikuwa wanaogopa kuwaeleza Watanzania kuwa ‘na sisi ni binadamu wenzenu tunaumia’, lkn kwa kujitokeza kwa wingi kiasi kile pengine zaidi ya walivyompokea Magufuli, ni dalili kuwa hata wao wamechoshwa na vile mtoto wao jirani yao Rais Magufuli alivyokuwa akiwatendea.

Tukiondoa vitendo vichache vya hapa na pale vya kupangwa alivyofanyiwa Lissu Chato, kitendo wachoonyesha ni sawa na kupeleka ujumbe kuwa tumepata sehemu angalau ya kupumulia, kutolea hisia zetu kwa vitendo.

Na mara nyingi mtoto akiwa na shida huogopa kumwambia baba yake lkn akija mjomba hujieleza bila hofu, wakazi wa Chato wamejieleza wazi.

Wenye akili tu wataelewa.

View attachment 1599379
Yaani safari hii mtaedit hadi mtakoma, hapo siyo CHATO kwwnza ndiyo maana mmeogopa hata kuleta clip kama mlivyozowea, mwisho jana wanachato halisi wamewaonyesha kwamba CHATO siyo sehemu ya mashoga.
 
Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
Wewe ndiyo uache ujinga,Hiyo ni picha ya jana Chatu sijui Chato.
 
Sawa mkuu yana mwisho ipo siku utakutwa amekatwa panga ndugu yako !Furaha yako itaongezeka zaidi ya hii
Akiwa sawa na tundu lissu afadhali kufilia mbali nikamzika. Mtu anayetumia watu ili anufaike wanini Kuishi hapa duniani
 
Hii picha mbona ni Tunduma bwashee?
Bwashee nyie wazee waleeni vijana wenu waambieni zama zimebadilika tutaviulia mbali huku mwenyekiti wao anaviangalia ona hapo polisi wala hajamsaidia kama alivyotegemea.
 
Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
Kaka CHATO jana wameoga aibu kubwa sana na hawatarudia kufanya ujinga CHATO

-Kwanza wameogopa kufanyia mkutano wao CHATO makoa makuu ya Wilaya wamefanyia mganza
-Pili walijitahidi sana kusomba watu kutoka Katoro ili waonekane wanaungwa mkono lakini bado idadi wa wahudhuriaji ilikuwa ndogo, ushahilidi for a hili rejea vedeo zinazosambaa mtandaoni wote wanaolalamika kupopolewa na mawe wanasema wametoka Katoro
- Hivi idadi ya wati ingekuwa kubwa kiasi kile nani angeweza kupopowa msafara wa Lissu kwa mawe??
 
Inawezekana wakazi wa Chato walikuwa wanaogopa kuwaeleza Watanzania kuwa ‘na sisi ni binadamu wenzenu tunaumia’, lkn kwa kujitokeza kwa wingi kiasi kile pengine zaidi ya walivyompokea Magufuli, ni dalili kuwa hata wao wamechoshwa na vile mtoto wao jirani yao Rais Magufuli alivyokuwa akiwatendea.

Tukiondoa vitendo vichache vya hapa na pale vya kupangwa alivyofanyiwa Lissu Chato, kitendo wachoonyesha ni sawa na kupeleka ujumbe kuwa tumepata sehemu angalau ya kupumulia, kutolea hisia zetu kwa vitendo.

Na mara nyingi mtoto akiwa na shida huogopa kumwambia baba yake lkn akija mjomba hujieleza bila hofu, wakazi wa Chato wamejieleza wazi.

Wenye akili tu wataelewa.

View attachment 1599379
Lissu amepopolewa mawe huko chato acha kudanganya watu. Hiyo picha pia siyo ya chato acha kuamisha watu uongo.
 
Back
Top Bottom