Uchaguzi 2020 Mapokezi makubwa aliyopewa Lissu na wakazi wa Chato yana ujumbe mkubwa uliokuwa umejificha mioyoni mwao

Kwanza wewe ni muongo. Msafara wa Lissu haukupigwa mawe bali ni gari la matangazo ambalo lilikuwa limeachwa nyuma. Pili hapo Lissu alipofanyia mkutano kama angeenda mjini basi angefunika mbaya.
 
Kaka mawe ni jambo la kupangwa. Watu wanalipwa kwa kazi hiyo, kisiasa halimjengi aliyepanga. Watu wanapiga kura za hasira kupinga hicho kitendo
Nani amekataza wasimpigie kura? Hivi inafurahia anavyomtukana Rais? Kwani ni yeye mgombea pekee wa upinzani? Mbona wengine wana kampeni za kistaarabu! Alivyo mshari kwanini karudi kanda ya ziwa baadala ya kusonga mbele, huyo ni mchokozi ma anatafuta kura za huruma maana ile ya kupigwa risasi imebuma!
 
Bro acha kabisa yaani amepopolewa na mawe balaaa, nusu ajisaidie kinyesi chepesi.
Taratibu watamuelewa kuwa dhamira yake si safi kwa nchi yetu! Kumbuka kila kitu kinachofanyika anakipinga na akiona amepwaya anaanzisha visa ili kuichokoza serikali. Mungu yupo tutavuka tu
 
Kwanza wewe ni muongo. Msafara wa Lissu haukupigwa mawe bali ni gari la matangazo ambalo lilikuwa limeachwa nyuma. Pili hapo Lissu alipofanyia mkutano kama angeenda mjini basi angefunika mbaya.
Hizo propaganda za kipuuzi huu ni wakati wa sayansi na tekinolojia kila kitu kiko wazi, vedeo clip zinasambaa mtandaoni zikionyesha Lissu amefungiwa ndani huku mawe yakirushwa.

Kama angefanyia mjini angefunika Kama unavyosema nini kilimzuia hadi wakodi watu kutoka Katoro????
 
Siyo Chatto tu ambako hawakmkubali, Magufuli hata kwenye familia hakubaliki. Yasemekana hata mama mzazi hamkubali ndiyo kisa kupata kiharusi. Maisha yake yote alikuwa anaishi na Binti yake aliyekufa mwishoni mwa 2018. Baada ya ule msiba mama akasema mbona umekufa wewe?? Si bora angekuwa nonino?? Sijui nitaishi wapi miye?? Mama kajisemeea kisha kupata kiharusi
 
Wamekodi watu mwuulize mwinyi price ya kukodi leo hiii hko Zanzibar
 
Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
Du!!! Kwa hiyo Bro! Katika picha hiyo unaweza kueleza kuwa ilikua ni asubuhi, mchana au jioni kwa kigezo kipi ... je jua linaonekana hapo kwenye picha?

Kusema kwamba jua linaonekana la utosi basi ni mchana?

Lakini pia Je, unaweza kunitofautishia kati ya picha (mfano wa hiyo hapo juu) ikiwa imepigwa saa mbili asubuhi na ikiwa imepigwa sa kumi jioni?

Acha uzuzu kwa intelijensia hiyo ndio maana mlidanganywa MO katekwa mkaletewa picha ya gari mkaambiwa ndio lililo mteka mkaamini

Shuwaini kweli Mxiueszzz hovyooo !!!
 
Wewe Jamaa ni mpuuzi kweli rejea uchaguzi wa Mwaka 2015, mtu ambaye hakubariki kwao anaweza kupata zaidi ya 95% ya kura zilizopigwa.
Mtu ambaye hakubariki anaweza kupata madiwani wote kutoka kata 17 .

Yaani tarehe 28/10/2020 ndiyo muone nini kitatokea .
 
Taratibu watamuelewa kuwa dhamira yake si safi kwa nchi yetu! Kumbuka kila kitu kinachofanyika anakipinga na akiona amepwaya anaanzisha visa ili kuichokoza serikali. Mungu yupo tutavuka tu
Kweli bro huyu jamaa siyo kabisa halafu mijiti ya bavicha ilivyo mijinga eti inasambaza clip mtandaoni zikionyesha wote wanaolalamika kupopolewa na mawe wametoka Katoro, hivi mtu anatoka Katoro hadi CHATO kuleta vurugu halafu uachwe ujinga kabisa.
 
Tulia wewe mammalia ratiba inapagwa na tume mwaka huu lazima mzalishwe bila dawa ya uchungu pambaf
 
Umetufafanulia vizuri dikteta wetu
 
Ndio Kawaida yenu kuwa na Misemo yakujazano Upepo tu kwa Vibendera Wenzie
Lakini Ukweli utabakia pale pale Huyo Hata 20% hatapata na Urais Atausikia tu JF kwa Vibendera wenye ID kumi kumi
Unatia huruma kiumbe wewe! Ndio nyie mnashangilia hata upumbavu unapofanyika.
Nenda kashangae flyover zenu huko! Na Mungu bwana, kapiga humohumo mnapo zungusha mauno kujisifia.
Your browser is not able to display this video.
 
Chato na ukanda mzima unawaeleza waTanzania, kwamba hatuwezi kugawanywa kimakabila au kwa sifa nyingine yoyote.

Ngazi hiyo ya kugawanywa tulishaivuka miaka mingi, hatuwezi kurudi huko.

Mwalimu alifanya kazi akaimaliza, yeyote anayetafuta kuturudisha huko tutamkataa.
 
Tuwekeeni video ya mkutano wa Chato. Siyo RUNZEWE na Bukombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…