Uchaguzi 2020 Mapokezi makubwa aliyopewa Lissu na wakazi wa Chato yana ujumbe mkubwa uliokuwa umejificha mioyoni mwao

Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine

Chadema wameingiza online tv inaitwa LN live, hiyo ndo inayotengeneza picha za uongo na kuhamasisha uovu.
Kifupi tanzania hatuna kiwango hicho cha ujinga wakuletewa vurugu.
Wanapoteza mda
Wanapoteza pesa
Wanapoteza nguvu.
Jibu nikwamba ccm tunaipa ushindi wa 96% tarehe 28/10/2020
 
Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
Mbona hiyo picha Ni ya jion jion? Au macho yangu?
 
Masikini Magufuli..ndo basi tena drama zake zote za kishamba zinaishia October 28!
 
Wamepiga mawe gari la matangazo Lissu akiwa ameshatangulia mbele.

Acha uongo wako eti wamesombwa unafikiri FIESTA yenu ile
 
Kweli bro huyu jamaa siyo kabisa halafu mijiti ya bavicha ilivyo mijinga eti inasambaza clip mtandaoni zikionyesha wote wanaolalamika kupopolewa na mawe wametoka Katoro, hivi mtu anatoka Katoro hadi CHATO kuleta vurugu halafu uachwe ujinga kabisa.
Wakitoka Katoro nyie ccm inawahusu nini?

Leo Chadema imepata wapi pesa za kusafirisha watu wakati mnasema hawana kitu.
 
Upinzani hamjifunzi tu, wingi wa watu si sawasawa na wingi wa kura! Uchaguzi uliopita tulideki hadi barabara
 
Nyie si mnafanya fiesta na kubeba watu lazima mchukie kwa gharama za kipuuzi
CDM wanauza sera sio sura pimbi maji ww
CDM hawana Sera zaidi ya hizi za CCM ila kinachoweza kuwapa stronghold ni upepo wa nyakati na zama.

Hata hivyo imekuwa ni hulka ya watanzania kuwa tayari kusikiliza kila mkutano, akija ACT utaona wamejaa pia. Good assessment ni kufanya utafiti mdogo kwenye makundi mbalimbali ya wananchi hapo utajua nani ana weight kubwa
 
Wananchi wamedhamiria kumuadhibu Jiwe kupitia sanduku la kura na Jiwe anajitahidi,"By All Means", Hilo lisitokee!
 
30/10 ndio nitaandika maoni Kwenye hii post.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] janja janja zote zitakuwa hakuna tena...
 
Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
Hata video pia hauikubali? Mwaka huu mnara wa Babeli unaporomoka humuwezi shindana na mipango ya Mungu✌✌
 
Ndio Kawaida yenu kuwa na Misemo yakujazano Upepo tu kwa Vibendera Wenzie
Lakini Ukweli utabakia pale pale Huyo Hata 20% hatapata na Urais Atausikia tu JF kwa Vibendera wenye ID kumi kumi
Good tumesikia mawazo yako
 
Vipi mkuu walifanikiwa kuondoka wote?
 
Picha za uongo mnatuletea hivi mnadhani kila mtu ni mshamnba
 
30/10 ndio nitaandika maoni Kwenye hii post.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] janja janja zote zitakuwa hakuna tena...
Lakini kumbuka wakati huo kisingizio kitakuwa ni kuwa wameibiwa kura
 
Watanzania tuwasikilize wana Chato .............!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…