ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Nimeshangaa wale watu wa bandarini pale Zanzibar wakiwafanyia harassment wachezaji wa Yanga na kuwaweka juani muda mrefu
Wale walinzinwamegoma kuwaruhusu kupita ati hawana vitambulisho
Yaani hapo Zanzibar napo wachezaji wagonge passport
Zanzibar mnajikuta nani awamu hii?
Yaani mnamgomea kumruhusu Job captain wa national timu, ati hamjui?
Badala muwachukulie Yanga kama fursa kuleta mechi kubwa ya CAFCL huko kwenu Zanzibar na bila shaka mtaingiza fedha nyingi, nyie ndo mna wa harass
Bora hata tungeenda Rwanda
Lawama zangu Kwa Eng Hersi Said na shobo zake
Uwanja wa taifa upo, kwanini ujipendekeza Kwa Kizimkazi upeleke mech Zanzibar?
Wazanzibar ni wabaguzi mno
Sisi Wanachama wa Yanga hatukufurahishwa kupeleka timu yetu Zanzibar
Kwa shobo za viongozi ni Bora tupigwe tutolewe kwenye mashindano