Mapokezi waliopewa Yanga Zanzibar yatawatoa mchezoni na kupoteza mchezo dhidi ya Far Rabat

Mapokezi waliopewa Yanga Zanzibar yatawatoa mchezoni na kupoteza mchezo dhidi ya Far Rabat

Wafungwe, wasifungwe! Watajuana wenyewe na huko kujipendekeza kwao.

Binafsi kwa sasa naiwazia tu nchi yangu ya Tanganyika! Na siyo ujinga mwingine wowote ule.

I wish kuona jambo kubwa likitokea hiyo D9.
Huyu mama kwa roho yake ilivyo, yupo radhi kuona wananchi wote wanakufa lakini sio yeye kuondoka madarakani. Tungekuwa na vyombo huru mpaka sasa asingekuwa kiongozi. Polisi hovyo, majeshi hovyo, mahakama hovyo na tume ya uchaguzi hovyo. Watahiniwa waliofeli ndio huwa kimbilio la polisi na jeshi. Mwisho wa siku tunashuhudia madudu kama haya katika vitu nyeti haswa
 
Nimeshangaa wale watu wa bandarini pale Zanzibar wakiwafanyia harassment wachezaji wa Yanga na kuwaweka juani muda mrefu

Wale walinzinwamegoma kuwaruhusu kupita ati hawana vitambulisho

Yaani hapo Zanzibar napo wachezaji wagonge passport

Zanzibar mnajikuta nani awamu hii?

Yaani mnamgomea kumruhusu Job captain wa national timu, ati hamjui?

Badala muwachukulie Yanga kama fursa kuleta mechi kubwa ya CAFCL huko kwenu Zanzibar na bila shaka mtaingiza fedha nyingi, nyie ndo mna wa harass

Bora hata tungeenda Rwanda

Lawama zangu Kwa Eng Hersi Said na shobo zake
Uwanja wa taifa upo, kwanini ujipendekeza Kwa Kizimkazi upeleke mech Zanzibar?
Wazanzibar ni wabaguzi mno

Sisi Wanachama wa Yanga hatukufurahishwa kupeleka timu yetu Zanzibar

Kwa shobo za viongozi ni Bora tupigwe tutolewe kwenye mashindano View attachment 3503612
Halafu nilikuwa najua kuwa makolo ndo kaandika huu uzi
Na we ngara23 uwe unapunguza kamlomo
 
Haya matimu c ya kuyapa promo kabisa..nmefurah sana li timu nlilokuwa shabik hapo kabla la simba..leo limepost kuhusu promo ya mashabik...muitiko ni mdogo haswa...hata comments 50 hazifiki...haiwezekan watu ambao mnaita mashabik wameuawa vile hamkutoa hata pole...leo hii kirahis rahis tu mnakuja kuwahadaa watu walio kweny majonz...kengeee nyie
 
Japo sishabikii Yanga,suala la kupeleka game za bara zanzibar huwa sipendi kwasababu tunajipendekeza mno kwao,ila wao hakuna ishu yao ya maana wanaweza kuleta huku bara tuka enjoy,viongozi wa hiz timu zetu wapunguze shobo
Bora wayatoe hayo matimu huku bara yanatupotezea muda
 
Wafungwe, wasifungwe! Watajuana wenyewe na huko kujipendekeza kwao.

Binafsi kwa sasa naiwazia tu nchi yangu ya Tanganyika! Na siyo ujinga mwingine wowote ule.

I wish kuona jambo kubwa likitokea hiyo D9.
Kweli Mkuu, Yanga ni timu yetu na tunaipenda ila kwa sasa tushughulikie jambo la Kitaifa lililopo mbele yetu. Hali ikishakaa Sawa, Yanga na Simba zitaendelea kuwepo tu!
 
Back
Top Bottom