Mapokezi waliopewa Yanga Zanzibar yatawatoa mchezoni na kupoteza mchezo dhidi ya Far Rabat

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Nimeshangaa wale watu wa bandarini pale Zanzibar wakiwafanyia harassment wachezaji wa Yanga na kuwaweka juani muda mrefu

Wale walinzinwamegoma kuwaruhusu kupita ati hawana vitambulisho

Yaani hapo Zanzibar napo wachezaji wagonge passport

Zanzibar mnajikuta nani awamu hii?

Yaani mnamgomea kumruhusu Job captain wa national timu, ati hamjui?

Badala muwachukulie Yanga kama fursa kuleta mechi kubwa ya CAFCL huko kwenu Zanzibar na bila shaka mtaingiza fedha nyingi, nyie ndo mna wa harass

Bora hata tungeenda Rwanda

Lawama zangu Kwa Eng Hersi Said na shobo zake
Uwanja wa taifa upo, kwanini ujipendekeza Kwa Kizimkazi upeleke mech Zanzibar?
Wazanzibar ni wabaguzi mno

Sisi Wanachama wa Yanga hatukufurahishwa kupeleka timu yetu Zanzibar

Kwa shobo za viongozi ni Bora tupigwe tutolewe kwenye mashindano
 
Father haya matimu yanamsaada gani kwenye hii nchi? Mbona akili mnazikopesha hivi? Hivi utafurahia vp ndg yako ameuliwa na hujawahi Ona hata mwili wake ukauhifadhi.
Ujinga wa kiwango gani huu?
Kwa sasa nguvu tuelekeze kwenye ukombozi wa Nchi.

Hayo mamipira yapo tu, tena yametuchelewesha na kutupumbaza sana.
 
Kama wabovu ni wabovu tu na hiyo mechi wasimwanzishe zimbwe aanze Boka height yake inasaidia timu kwenye set pieces, wakianzisha vimbilikimo vyote kule nyuma wataumizwa, wale jamaa ni hatari kwa kona na faulu
 

Haya matim yenu mmelogezewa. Mnapata wapi guts za kufuatilia haya maujinga?
 
Achana na mambo ya mpira kitu ni D9 tupo bize na nchi yetu
 
We na mamako ndo mtapigwa na kutolewa.
YANGA HAITATOLEWA, NA ITASONGA MBELE
 
Kama wabovu ni wabovu tu na hiyo mechi wasimwanzishe zimbwe aanze Boka height yake inasaidia timu kwenye set pieces, wakianzisha vimbilikimo vyote kule nyuma wataumizwa, wale jamaa ni hatari kwa kona na faulu

Sijui mtazamo wa kocha,,ila kwa mtazamo wangu mimi, ninaona Boka yuko vizuri zaidi ya mohamed Hussein
 
Ndugu utambulisho ni lazima....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…