Huyu mama kwa roho yake ilivyo, yupo radhi kuona wananchi wote wanakufa lakini sio yeye kuondoka madarakani. Tungekuwa na vyombo huru mpaka sasa asingekuwa kiongozi. Polisi hovyo, majeshi hovyo, mahakama hovyo na tume ya uchaguzi hovyo. Watahiniwa waliofeli ndio huwa kimbilio la polisi na jeshi. Mwisho wa siku tunashuhudia madudu kama haya katika vitu nyeti haswaWafungwe, wasifungwe! Watajuana wenyewe na huko kujipendekeza kwao.
Binafsi kwa sasa naiwazia tu nchi yangu ya Tanganyika! Na siyo ujinga mwingine wowote ule.
I wish kuona jambo kubwa likitokea hiyo D9.
📌Father haya matimu yanamsaada gani kwenye hii nchi? Mbona akili mnazikopesha hivi? Hivi utafurahia vp ndg yako ameuliwa na hujawahi Ona hata mwili wake ukauhifadhi.
Ujinga wa kiwango gani huu?
Halafu nilikuwa najua kuwa makolo ndo kaandika huu uziNimeshangaa wale watu wa bandarini pale Zanzibar wakiwafanyia harassment wachezaji wa Yanga na kuwaweka juani muda mrefu
Wale walinzinwamegoma kuwaruhusu kupita ati hawana vitambulisho
Yaani hapo Zanzibar napo wachezaji wagonge passport
Zanzibar mnajikuta nani awamu hii?
Yaani mnamgomea kumruhusu Job captain wa national timu, ati hamjui?
Badala muwachukulie Yanga kama fursa kuleta mechi kubwa ya CAFCL huko kwenu Zanzibar na bila shaka mtaingiza fedha nyingi, nyie ndo mna wa harass
Bora hata tungeenda Rwanda
Lawama zangu Kwa Eng Hersi Said na shobo zake
Uwanja wa taifa upo, kwanini ujipendekeza Kwa Kizimkazi upeleke mech Zanzibar?
Wazanzibar ni wabaguzi mno
Sisi Wanachama wa Yanga hatukufurahishwa kupeleka timu yetu Zanzibar
Kwa shobo za viongozi ni Bora tupigwe tutolewe kwenye mashindano View attachment 3503612
Umri umemtupa mikimikiki hawezi tena, na siyo mchezaji wa dakika 90Sijui mtazamo wa kocha,,ila kwa mtazamo wangu mimi, ninaona Boka yuko vizuri zaidi ya mohamed Hussein
Mo ana back pass nyingi sanaSijui mtazamo wa kocha,,ila kwa mtazamo wangu mimi, ninaona Boka yuko vizuri zaidi ya mohamed Hussein
That's all Kiongozi.Wafungwe, wasifungwe! Watajuana wenyewe na huko kujipendekeza kwao.
Binafsi kwa sasa naiwazia tu nchi yangu ya Tanganyika! Na siyo ujinga mwingine wowote ule.
I wish kuona jambo kubwa likitokea hiyo D9.
Haya matimu hayana issue kwa sasaKama wabovu ni wabovu tu na hiyo mechi wasimwanzishe zimbwe aanze Boka height yake inasaidia timu kwenye set pieces, wakianzisha vimbilikimo vyote kule nyuma wataumizwa, wale jamaa ni hatari kwa kona na faulu
Bora wayatoe hayo matimu huku bara yanatupotezea mudaJapo sishabikii Yanga,suala la kupeleka game za bara zanzibar huwa sipendi kwasababu tunajipendekeza mno kwao,ila wao hakuna ishu yao ya maana wanaweza kuleta huku bara tuka enjoy,viongozi wa hiz timu zetu wapunguze shobo
Kweli Mkuu, Yanga ni timu yetu na tunaipenda ila kwa sasa tushughulikie jambo la Kitaifa lililopo mbele yetu. Hali ikishakaa Sawa, Yanga na Simba zitaendelea kuwepo tu!Wafungwe, wasifungwe! Watajuana wenyewe na huko kujipendekeza kwao.
Binafsi kwa sasa naiwazia tu nchi yangu ya Tanganyika! Na siyo ujinga mwingine wowote ule.
I wish kuona jambo kubwa likitokea hiyo D9.