Mapokezi ya Heche Vs Wassira mkoani Mara

Mapokezi ya Heche Vs Wassira mkoani Mara

Attachments

  • downloadfile.jpg
    downloadfile.jpg
    1.1 MB · Views: 3
1. Mara ni kitivo cha uongozi. Mwl Nyerere, Jaji Warioba, Jenerali Msuguri ndio waliopotokea.

2. Tunawakaribisha viongozi wetu hapa airport Musoma tarehe 30/03/2025. Saa 5 asubuhi
Watapanda ndegge moja au mnawakodia kila mtu yake
 
CCM siku zote hawako makini, kwa Wasira ndio wamevuruga zaidi

Mara zote mtu ukizeeka, ni mara chache kujitambua kuwa umezeeka mpaka uone shikamooo nyingi, uitwe babu n.k na au uambiwe

CCM imezeeka, tuwaambie ukweli, wanafanya mambo yao kihovyo hovyo sana

Wasira hapo alipo ni wa kupewa uongozi?

Haya mambo bhana, Iko hivi, Babu yangu alikuwaga mtemi mahali fulani hivi naye alikuwa kazeeeka sana, siku akiongoza kikao na watu wamekaa kiimya kumsikiliza, mara akapumlia nyuma likatoka lenye kelele kuubwa, watu hooo! Namna gani mtemi sasa? 🤣🤣

Kuna siku ccm litawatokea kupenda kuongozwa na vizee vilivyochoka utadhani tasirimali watu hawapo

Bora Wangelimpa mwashambwa! 🤣🤣
 
CCM siku zote hawako makini, kwa Wasira ndio wamevuruga zaidi

Mara zote mtu ukizeeka, ni mara chache kujitambua kuwa umezeeka mpaka uone shikamooo nyingi, uitwe babu n.k na au uambiwe

CCM imezeeka, tuwaambie ukweli, wanafanya mambo yao kihovyo hovyo sana

Wasira hapo alipo ni wa kupewa uongozi?

Bora Wangelimpa mwashambwa! 🤣🤣
Yuko hapa mbona ni kijana kabisa,wa kupewa uongozi!
Tuache wivu!
 
Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 5
Mapokezi ya Heche Vs Wassira mkoani Mara, huku yanafanyika muda mmoja, eneo moja
Je mimi ndio sijaelewa peke yangu?
 
Back
Top Bottom