Mapokezi ya Heche Vs Wassira mkoani Mara

Mapokezi ya Heche Vs Wassira mkoani Mara

umekubaliana NAMI akili Hana
Angekuwa hana akili asingefanya kazi na Mzee Nyerere na Mzee Mwinyi.
Huyo ni jembe la nguvu ndio maana kila rais anayeingia ikulu anamteua Wasira kwa kazi mbalimbali.
Haiwezekani Marais watano wote wamteue mtu ambaye hana akili.
 
inawezekana poa kuteuliwa wanaotumia nguvu kifikra(debe tupu)
 
1. Mara ni kitivo cha uongozi. Mwl Nyerere, Jaji Warioba, Jenerali Msuguri, IGP (Mstaafu) Sirro ndio waliopotokea.

2. Tunawakaribisha viongozi wetu hapa airport Musoma tarehe 30/03/2025. Saa 5 asubuhi
Wassira ni adhabu kwake kwa cheo alichokipata
 
Back
Top Bottom