Mapokezi ya Kihistoria aliyoyapata Rais Samia katika ziara yake ni Uthibitisho wa Watanzania wanavyomkubali

Rais Samia Suluhu amefanya mambo makubwa sana kigoma kwaiyo kigoma wana kila sababu ya kumpokea kwa shangwe zote
 
Umeongea pointi sana kazi ya Rais Samia Suluhu inatufanya sisi wazalendo kuziongelea lakini kwa wale waliozoea kupinga kila kitu wanaisi kila kitu ni kulipwa kwaiyo na wao wanalipwa kupinga
Itakuwa wanalipwa kuja hapa kutukana matusi na kupinga kila kitu kizuri kinachofanywa na mh Rais wetu mpendwa mama Samia, ndio maana wanahisi nasi wazalendo tunalipwa Kama wao
 
Umeongea ukweli kabisa, upinzani matumbo joto kwa Sasa wakiona namna mh Rais anavyoleta nuru kwa watanzania Kama alivyofanya huko kigoma
Rais Samia Suluhu amefanya mambo makubwa sana kigoma kwaiyo kigoma wana kila sababu ya kumpokea kwa shangwe zote
 
Hivi wewe hao mafisadi wanakulipa kwa siku, kwa wiki au kwa mwezi?
 
Silipwi chochote Bali Nasukumwa na uzalendo wangu kwa Taifa langu hasa baada ya kuridhishwa na utendaji kazi uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge inayofanywa na Rais Samia, Nimetambua na kuona namna Rais Samia alivyojitoa na kujitolea kuwatumikia watanzania, namna anavyo fanya kazi bila kupumzika ili kutuinua kiuchumi,

Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania, Tumuunge mkono badala ya kumkatisha tamaa, Tumtetee badala ya kumshambulia maana kila afanyacho Ni kwa Faida yetu watanzania
Hivi wewe hao mafisadi wanakulipa kwa siku, kwa wiki au kwa mwezi?
 
CCM hii ni ya wapigaji na uchawa tu
CCM hii chini ya uongozi shupavu wa mama Samia imedhamilia kuhakikisha kuwa hakuna mtanzania anayebaki nyuma Wala kubaki Alipo kiuchumi, lazima wote tuinuke kiuchumi na kusonga mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…