Mapokezi ya Mwili wa John Pombe Magufuli: Wakazi wa Dodoma waizunguka Airport

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Wakazi wa Dodoma wamejitokeza na kuizunguka Airport ya Jiji la dodoma wakisubiri kuona Mwili wa Mh Rais Magufuli ukishuka tayari kuagwa hapo kesho.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

20210321_194056.jpg

DODOMA NI MAKAO MAKUU YA CHAMA NA SERIKALI.HAWA NI WAKAZI WA DODOMA WAKISHIHUDIA SAFARI YA MWISHO YA Rais Magufuli.

20210321_191221.jpg

HII NI DODOMA AMBAPO MIAKA MITANO ILIYOPITA HAIKUWA IKING'AA KWA TAA .
LEO WAKAZI WA DODOMA HAWATOLALA WAKIMSUBIRI CHUMA.

UPDATE 2109HRS
KWA SASA MWILI UMEINGIA KATA YA CHAMWINO IKULU KWA MAJIRANI WA DR JOHN POMBE MAGUFULI
 
Wakazi wa Dodoma wamejitokeza na kuizunguka Airport ya Jiji la dodoma wakisubiri kuona Mwili wa Mh Rais Magufuli ukishuka tayari kuagwa hapo kesho.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Mbona kama ni habari picha isiyo na picha!!
 
Wakazi wa Dodoma wamejitokeza na kuizunguka Airport ya Jiji la dodoma wakisubiri kuona Mwili wa Mh Rais Magufuli ukishuka tayari kuagwa hapo kesho.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Poleni sana watu wa dodoma
 
Sijui kama ile title ya Makao Makuu mliyopewa itafikisha miezi sita kwa dalili nazoziona, watoto wa mjini wanaonekana hawataki kabisa kuiachia Dsm.
 
At least kwa US, former presidents wanakuwa addressed kwa title hiyo. President Bush, President Obama
 
Sijui kama ile title ya Makao Makuu mliyopewa itafikisha miezi sita kwa dalili nazoziona, watoto wa mjini wanaonekana hawataki kabisa kuiachia Dsm.
Dar tupo na Dodoma tupo ....tutawachezesha SINGELI Hadi muelewe
 
Wakazi wa Dodoma wamejitokeza na kuizunguka Airport ya Jiji la dodoma wakisubiri kuona Mwili wa Mh Rais Magufuli ukishuka tayari kuagwa hapo kesho.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Wewe umesoma kiswahili shule za elimu ya watu wazima, au? Sema aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, MAREHEMU Dr. John Pombe Joseph Magufuli! Kikwete naMzee Mwinyi ni Marais Wastaafu!

Hakuna Nchi yenye Marais wawili! Rais wa Tanzania kwa sasa ni Mh. Samia Suluhu Hassan. Umeelewa?
 
Jadili hoja...achana na vihoja.
 
Jadili hoja...achana na vihoja.
Tatizo unapotosha! Kwa sasa tuna Rais Samia! Na amesha apa tayari. Magufuli ni marehemu. Sasa unataka hoja gani ijadiliwe? Si urekebishe tu maelezo yako! Au umeamua kuirithi ile tabia ya ukaidi na ujuaji?
 
Back
Top Bottom