jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
- Thread starter
- #61
Endeleeni kuhamisha magoli...sisi tutayafunga yoteWewe umesoma kiswahili shule za elimu ya watu wazima, au? Sema aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, MAREHEMU Dr. John Pombe Joseph Magufuli! Kikwete naMzee Mwinyi ni Marais Wastaafu!
Hakuna Nchi yenye Marais wawili! Rais wa Tanzania kwa sasa ni Mh. Samia Suluhu Hassan. Umeelewa?