Mapokezi ya Mwili wa John Pombe Magufuli: Wakazi wa Dodoma waizunguka Airport

Mapokezi ya Mwili wa John Pombe Magufuli: Wakazi wa Dodoma waizunguka Airport

Sasa hivi tunaongelea awamu ya Mama Samia siyo historia ya waliokuwa marais zamani.
tupo kwenye msiba wa Mh Rais Magufuli ndani ya awamu ya Mh. Rais Samia Suluhu.
 
Tulimpenda sana naumia kutomsikia tena sauti yake na kutokuiona sura yake ee mung mlaze mahala pema peponi amen
 
Mbona kunawatu wanashangilia hapo na kupeperusha mashati ama kweli sio kila anayeenda hapo anaomboleza
 
Jana katika pitapita zangu YouTube kuna video moja ilinishangaza na ilinifanya niumee mno kwamba kuna mchungaji mmoja sijui jimbo LA WAP alitabili kifo.kifo hicho viongozi wakubwa katika ikuru watafariki hivi huyu jamaa ni mchawi or mrogiristcs au anatumia astral ila kama ni astral ni ngumu itakuwa ni mashetani not roho mtakatifu hapo
 
Back
Top Bottom