Mapokezi ya Mwili wa John Pombe Magufuli: Wakazi wa Dodoma waizunguka Airport

Mtaongea hadi kilugha ila Fisadi hatokatiza tena mbele ya watanzania

Unasemaje? Kila siku tunapishana na mafisadi walioko serikalini. Unajua maana ya KLEPTOCRACY wewe? Hakuna mpambanaji na ufisadi anayezima kwanza uwazi (transparency) kwenye miamala mikubwa ya kitaifa.

Watanzania watajuaje ufisadi unaoendelea kwenye miamala isiyofanyiwa ukaguzi na CAG wala kujadiliwa Bungeni? Hizo ni porojo kwa ajili ya wanyonge bila shaka. Wao wakiona daraja, ndege, barabara, nk. Wanagaragara kwa furaha na kutukuza mtu. Hawana uwezo wa kuelewa wajibu wa mtendaji wala β€œvalue for money”.
 
hapo awali tulikuwa hatuoni hata miradi inayotakiwa kukaguliwa na CAG
 
Back
Top Bottom