Mbona kama ni habari picha isiyo na picha!!Wakazi wa Dodoma wamejitokeza na kuizunguka Airport ya Jiji la dodoma wakisubiri kuona Mwili wa Mh Rais Magufuli ukishuka tayari kuagwa hapo kesho.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Poleni sana watu wa dodomaWakazi wa Dodoma wamejitokeza na kuizunguka Airport ya Jiji la dodoma wakisubiri kuona Mwili wa Mh Rais Magufuli ukishuka tayari kuagwa hapo kesho.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Umejawa na ukabila tu.Wasukuma munashida
Taarifa ingeambatana na picha ingependeza zaidiHauamini au
Wewe umesoma kiswahili shule za elimu ya watu wazima, au? Sema aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, MAREHEMU Dr. John Pombe Joseph Magufuli! Kikwete naMzee Mwinyi ni Marais Wastaafu!Wakazi wa Dodoma wamejitokeza na kuizunguka Airport ya Jiji la dodoma wakisubiri kuona Mwili wa Mh Rais Magufuli ukishuka tayari kuagwa hapo kesho.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Jadili hoja...achana na vihoja.Wewe umesoma kiswahili shule za elimu ya watu wazima, au? Sema aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, MAREHEMU Dr. John Pombe Joseph Magufuli! Kikwete naMzee Mwinyi ni Marais Wastaafu!
Hakuna Nchi yenye Marais wawili! Rais wa Tanzania kwa sasa ni Mh. Samia Suluhu Hassan. Umeelewa?
Tatizo unapotosha! Kwa sasa tuna Rais Samia! Na amesha apa tayari. Magufuli ni marehemu. Sasa unataka hoja gani ijadiliwe? Si urekebishe tu maelezo yako! Au umeamua kuirithi ile tabia ya ukaidi na ujuaji?Jadili hoja...achana na vihoja.