Mapokezi ya Mwili wa John Pombe Magufuli: Wakazi wa Dodoma waizunguka Airport

Endeleeni kuhamisha magoli...sisi tutayafunga yote
 
Leo nchi itakuwa wapi tulimtegemea magufui katika uchumi na alikuwa kiongozi mwenye msimamo mKali kweli kweli sijui Leo hii nani ambae atakuwa mwelewa na atakuwa anafaham nini chakufanya katika nchi hii kinacho uma zaidi rais magufur hakuimaliza kazi aliyo ianzisha
 
Endeleeni kuhamisha magoli...sisi tutayafunga yote
Mtaweweseka sana safari hii! Yaani marehemu mnamtembeza barabarani kama vile ni sanamu ya maonesho! Mnatenda dhambi kubwa sana nyinyi maccm. Muda alitakiwa awe kitambo tu ameshapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele! Mnacho kifanya ni udhalilishaji tu kwa marehemu.

Yote hii ni kutaka tu kumpoteza Rais Mpya!! Mh. Samia baada tu ya mazishi, hana budi kuwatimua wanafiki wote kwenye serikali yake. Bila kufanya hivyo, nyinyi mataga mtamkwamisha sana.
 
Mwili wa Hayati Dr John Pombe Magufuli umaingia viunga vya Kata ya Chamwino Ikulu.
 
Hapa Hayati Dr John Pombe Magufuli alihamasisha ujenzi wa Kanisa na Msikiti kama alivyowahi kufanya Chato.
 
Mwenye kiwewe ni wewe!
 
Sijaona family yake nikiwa na maana watoto wake kuaga mwili wa marehemu? Hapa kuna kitu gani kimejificha?
Jana Pale Uwanja Wa Uhuru Mbona Mkewe Alikuwepo Uwanjani Na Watoto
 
Rekebisha Title, Magufuli sio Rais
Title ya Rais, kama ilivyo kwa General, Major, Captain na vyeo vingine vya kijeshi huwa haifutiki mtu akishakuwa nayo. Kwa hiyo Kikwete bado anaitwa Rais ila kwa vile hana madaraka ni lazima kuweka kwenye mabano kuwa ni mstaafu. Kwa hiyo Magufuli naye kuitwa Hayati Rais Magufuli bado ni sahihi kabisa.
 
CCM mbona mnahangaika sana na Huyo Hayati Magufuli? Hivi hamjui ashakufa badala muanze kumbrand Mama Samia Suluhu mpo busy na Magufuli au mnafikiri 2025 atakuwepo?

Inabidi mzoee kuwa jamaa ashakufa na upinzani hauna shida naye na wala siyo ajenda ya upinzani kwasasa, akizungumziwa anaongelewa Kama historia tu.
 
Wapinzani tuache kujishtukia
Tuache kulialia....

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…