Mapokezi ya ndege jijini Mwanza kupokelewa na Rais, Makamu, Waziri Mkuu na Spika

Kweli aliekodi ndege kwa 54M na kuacha kununua tiketi za shs 2.6M nani mwenye akili matope sasa.
Kama ni hivi basi acha akili yangu iwe matope ila ukweli unaumaaaaaa pole sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ambavyo nyinyi mlivyokuwa mnatunyosha hasa kupitia TRA! Mungu ni mkubwa!

Sisi akina nani, maana sijawahi kufanya kazi yoyote ya serikali. Sasa ukisema sisi huko TRA sielewi unasema nini.
 
Mpelekee ww maana ndio anayekuamini. Mimi simfagilii hivyo hawezi kunisikiliza.

Mkuu hiyo mimi nimeiandika kutoka kwenye hayo mapokezi na kuandika alichosema, sasa wewe unafikiri vipi? Huo ndio uhuru wenyewe ni kama wewe jinsi unavyotoa maoni yako hapa JF.
 
Wameshakuchagua sasa kwenye uongozi au mmeahirisha uchaguzi?

Katika vitu sina mzuka navyo ni uongozi. Labda ww ni kiongozi huko uliko boss, kiasi kwamba unadhani kila mtu ana mzuka wa uongozi.
 
Kuna kitu hakijakaa sawa. Serikali yote kuhamia Mwanza kwa ajili ya kupokea ndege sidhani kama hii ni sawa. Lakini kuna siku tutakuwa matajiri na kununua ndege itakuwa ni jambo la kawaida kama vile matajiri wanavyonunua mabasi .
 
Katika vitu sina mzuka navyo ni uongozi. Labda ww ni kiongozi huko uliko boss, kiasi kwamba unadhani kila mtu ana mzuka wa uongozi.

Wacha kuweweseka, huwezi kujificha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…