Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
uchaguzi ukiwa huru na haki...Nyie wanasiasa wachumia matumbo acheni kutugawa kikanda kwa mitazamo hafifu Kama hii, Kanda ya ziwa lipi hiyo ambayo watu Wana kisasi juu ya mama, kwa lipi?
Kiufupi sioni hofu juu ya urais wa mama kwa 2025,samia ni rais Bora kabisa na atashinda kwa kishindo kutokana na wingi wa kura toka Kanda ya ziwa!!!