Mapokezi ya Rais Samia Kanda ya Ziwa yameanza kutoa picha namna uchaguzi 2025 utakavyokuwa

Mapokezi ya Rais Samia Kanda ya Ziwa yameanza kutoa picha namna uchaguzi 2025 utakavyokuwa

Ukumbuke wasukuma hawatawaliwi na wanawake
2. Atapata kura pemba na unguja
3. Awaeleze kilichompata JPM
4. Bashiru yuko Usukumani anasimulia kilichompata JPM
5. Nape na membe wamechafua hali ya hewa kanda ya ziwa
 
Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.

Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.

Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 2254641
zingatia hili ndg, ccm haishindi uchaguzi kwa kupitia sanduku la kura, ccm inashinda uchaguzi kwa kupitia nguvu ya dola.

hao wasukuma wanzako wa huko kanda ziwa, unapaswa kuwaelimisha kuhusu hili.

ndio maana baadhi ya watz wastaarab wanataka katiba mpya.
 
Hivi Bwanga ina-count asilimia ngapi ya wapiga kura wa Tanzania?

Watu watakaokuwa na wakati mgumu sana katika chaguzi zijazo, ni wale walikuwa na shikamano na marehemu. Hawa wanahesabika ni sehemu ya uovu wa marehulemu:

Kalemani, Kabudi, Polepole, Bashite, Chamuriho, Bashiru, n.k. Hawa wasifikirie maisha ya kutegemea siasa tena.
Bwanga cha mtoto, kahama, Katoro na mwanza ni shida tu
 
Ccm hawategemei kura na dhalimu ndio muasisi wa tabia hiyo. Isitoshe hakuna mtu anajitambua atashiriki uchaguzi wa kishenzi.
Dah! Kweli wapinzani wa bongo hampo serious kabisa, yani unasema Magufuli ndio kaanzisha ccm kutotegemea kura? Mimi naona ccm wanatakiwa wamshukuru sana Magufuli maana anabeba lawama zote yeye na kuiacha ccm kuwa safi kwa kusahauliwa maovu yake yote.
 
CC: Nape
 
Nape na bao la mkono ila bado lawama anabeba Jiwe.
Tukitaka amani ya kweli Tanzania wafuatao inatakiwa mungu afanye yake:
1. Nape
2. JK
3. Riziwani
4. Maza
5. Membe
7. Lowasa
8. Mhagama
7. Lusinde
9. Makamba Jr na Sr
10. Kinana
11. IGP
12. Ndungai
13. Tulia
 
Dah! Kweli wapinzani wa bongo hampo serious kabisa, yani unasema Magufuli ndio kaanzisha ccm kutotegemea kura? Mimi naona ccm wanatakiwa wamshukuru sana Magufuli maana anabeba lawama zote yeye na kuiacha ccm kuwa safi kwa kusahauliwa maovu yake yote.
CCM ibaki safi wakati nimesema ccm haitegemei kura kubaki madarakani?!
 
Kisasi kwa kosa lipi? Wasukuma washamba sana nyie
 
Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.

Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.

Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 2254641
Unaona watoto wa shule kweli hapo kwenye picha yako na hii video

Acha ujinga-Kagera,Mara,Simiyu na Tabora mama atazoa kura za kutosha,zitapungua kidogo Mwanza na Geita ila kote huko hakuna chama cha kuishinda ccm kwenye nafasi ya Rais...

Nyie wapinzani na sukuma gang hangaikeni na madiwani na wabunge.
Sukuma gang wote hawaamini kama magu alikufa kufo cha kawaida
 
Back
Top Bottom