Mapokezi ya Rais Samia Kanda ya Ziwa yameanza kutoa picha namna uchaguzi 2025 utakavyokuwa

Mapokezi ya Rais Samia Kanda ya Ziwa yameanza kutoa picha namna uchaguzi 2025 utakavyokuwa

Wewe huijui ccm !

IMG_20220531_204006.jpg
 
Acha ujinga-Kagera,Mara,Simiyu na Tabora mama atazoa kura za kutosha,zitapungua kidogo Mwanza na Geita ila kote huko hakuna chama cha kuishinda ccm kwenye nafasi ya Rais...

Nyie wapinzani na sukuma gang hangaikeni na madiwani na wabunge.
Kwanza nacheka sana kwa mnao jiaminisha kwa asilimia 100 kuwa mama atathubutu kugombea 2025 mama mpaka sasa kesha ona ngoma ngumu hivyo hata yeye mwenyewe yupo njia panda
 
Jambo usilolijua ni kuwa sisi aliyotuongezea 23% ndiyo mkarani na maafisa uchaguzi. Tunajua tutakachomfanyia mama ili apite.
 
Kwa sasa ni ngumu upinzani kumchallenge
Mbinu aliyoitumia kuwakamata imefanikiwa sana kuliko ya mwenzake
 
Acha ujinga-Kagera,Mara,Simiyu na Tabora mama atazoa kura za kutosha,zitapungua kidogo Mwanza na Geita ila kote huko hakuna chama cha kuishinda ccm kwenye nafasi ya Rais...

Nyie wapinzani na sukuma gang hangaikeni na madiwani na wabunge.
Boga wewe territory zetu zikiamua hamna kikabila kitatushinda.
Kwa takwimu za 2012 Wasukuma tuko 14 million hapa nilikuwa sijazaa mibuyu yangu minne hii 2022 tutakuwa wangapi?

Na kikabila chako hicho kinachopatikana wilaya moja
 
Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.

Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.

Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 2254641
Haya yako ni maajabu; kwani hao sio watu waliompokea mkuu 'Muuza Kangara'. Unataka watu wa namna gani wampokee?

Hii mada unawasilisha mawazo yako yaliyo kichwani mwako, na siyo kwa ushahidi uliouona wewe.

Baada ya kusema hayo, ninakubaliana nawe kwamba atapata shida kuchaguliwa hapo 2025 endapo kama uchaguzi utakuwa huru na wa haki. Lakini ugumu huo hautahusiana na hayo uliyoyaeleza wewe.

Huyu ni kiongozi ambaye hana uwezo wa kuleta msukumo mkubwa katika kuibadilisha nchi yetu kutoka kwenye mkwamo iliomo.
Huyu ni kiongozi mwenye sifa zote zitakazoongeza mkwamo kimaendeleo ya nchi hii.
 
Boga wewe territory zetu zikiamua hamna kikabila kitatushinda.
Kwa takwimu za 2012 Wasukuma tuko 14 million hapa nilikuwa sijazaa mibuyu yangu minne hii 2022 tutakuwa wangapi?

Na kikabila chako hicho kinachopatikana wilaya moja
Kwa hiyo 'wasukuma' wote ni mali yako, utawatumia kama utakavyo wewe mwenyewe?

Fikra za kipuuzi kama hizi muwe wakati mwingine mkiona aibu kuziweka hadharani, zinawafanya kuonekana kama machizi!
 
Acha uongo ni lini CCM iliwahi kuwa na ushawishi Kanda ya ziwa zaidi ya enzi za JPM kwa turufu ya ukabila!!

In fact Mara, Simiyu, na Kagera mpaka ukerewe, Nyamagana na Shinyanga Chadema iliperform better 2015. Hapo Geita mjini licha ya wizi CHADEMA ikipata 17,000 huku CCM ikishinda kwa 30,000 hivi Hilo gap ndio kusema upinzani haupo Kanda ya ziwa!!

Get serious
Huwa unanikosha kweli kwa majibu yako yenye ushahidi wa takwimu.
 
Mimi kazini kwangu, kura ya uhakika kwa CCM ni yangu tu. Sijui kwa nini hawampendi
 
Kwa makadirio ya haraka haraka,samia atashinda urais kabla misa ya kwanza haijaanza.
Washindani wake wenyewe ndiyo hawa akina terrorist mbowe?
 
Acha ujinga-Kagera,Mara,Simiyu na Tabora mama atazoa kura za kutosha,zitapungua kidogo Mwanza na Geita ila kote huko hakuna chama cha kuishinda ccm kwenye nafasi ya Rais...

Nyie wapinzani na sukuma gang hangaikeni na madiwani na wabunge.
Mara ipi hiyo aisee nahisi unaumwa ww
 
Kwahiyo hawa ni wanafunzi?

Si bora Rais Samia hasombi watu kwenye malori kutoka maeneo mbalimbali ili ionekane yule bwana anakubalika na wananchi kumbe maigizo.
Watu wamesombwa sn biharamulo wanafunzi hawakwenda shule kwingine waliambiwa waende na nguo za nyumban na za shule shughuri ikiisha wavae uniforms waende shule
 
Back
Top Bottom