Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
uchaguzi ukiwa huru na haki...Nyie wanasiasa wachumia matumbo acheni kutugawa kikanda kwa mitazamo hafifu Kama hii, Kanda ya ziwa lipi hiyo ambayo watu Wana kisasi juu ya mama, kwa lipi?
Kiufupi sioni hofu juu ya urais wa mama kwa 2025,samia ni rais Bora kabisa na atashinda kwa kishindo kutokana na wingi wa kura toka Kanda ya ziwa!!!
Acha uongo - mama anaupiga mwingi!Watu wamepigika na ugumu wa maisha we acha tu.
Unafananisha kuendesha nchi na sherehe? Mkuu unafikiri kwenye maslahi mtu anahangaika wewe ukisusa? Wanaendesha nchi na kujitajirisha, we endelea kususa thu, Lissu na Mbowe sasahivi akaunti zao zina swing mamilioni wako kimya hawamsumbui tena maza, weee susa tuHata wanaopindua nchi huwa wanaunda serikali. Hapa tunazungumzia uhalali wa serikali. Wao kama serikali wanataka waungwe mkono na watu wengi, ukiwa madarakani huku unajua fika hakuna watu wengi walikupigia kura unajua kabisa hukubaliki. Ni sawa uandae sherehe kubwa na vyakula vitamu kisha watu wasijitokeze, sio kwamba sherehe itasimama, lakini itakuwa hailipi.
Kuendesha nchi kuna ugumu gani boss, au ukisikia wavivu wanasema ni ngumu basi na ww unaamini? Kama kususa hakuwaumizi, huwa wanabembeleza nini na kumwaga pesa ili wapigiwe kura? Kuna mahusiano gani kwenye hiki tunachoongea na Mbowe ama Lisu kuwa na mamilioni kwenye account zao? Au umeishiwa na hoja nini boss?Unafananisha kuendesha nchi na sherehe? Mkuu unafikiri kwenye maslahi mtu anahangaika wewe ukisusa? Wanaendesha nchi na kujitajirisha, we endelea kususa thu, Lissu na Mbowe sasahivi akaunti zao zina swing mamilioni wako kimya hawamsumbui tena maza, weee susa tu
naomba mara usitusemee, tuna jambo letu lililoshindikana 2020Acha ujinga-Kagera,Mara,Simiyu na Tabora mama atazoa kura za kutosha,zitapungua kidogo Mwanza na Geita ila kote huko hakuna chama cha kuishinda ccm kwenye nafasi ya Rais...
Nyie wapinzani na sukuma gang hangaikeni na madiwani na wabunge.
Wewe umeshawahi kuendesha hata familia kweli? Eti kuendesha nchi ni rahisiKuendesha nchi kuna ugumu gani boss, au ukisikia wavivu wanasema ni ngumu basi na ww unaamini? Kama kususa hakuwaumizi, huwa wanabembeleza nini na kumwaga pesa ili wapigiwe kura? Kuna mahusiano gani kwenye hiki tunachoongea na Mbowe ama Lisu kuwa na mamilioni kwenye account zao? Au umeishiwa na hoja nini boss?
Wewe umeshawahi kuendesha hata familia kweli? Eti kuendesha nchi ni rahisi
Mnajisumbuanaomba mara usitusemee, tuna jambo letu lililoshindikana 2020
Kumbe ndio maana Chadema mnataka kuendesha serikaliKwa taarifa yako hawa viongozi wetu wanapenda mambo marahisi na sio magumu. Kama ingekuwa kuendesha nchi ni kugumu wasingeiba kura ili waendelee kuongoza. Sijawahi kuendesha hata familia boss, nakaa kwa shemeji aliyemuoa dada yangu.
Kwa simiyu hapana tafuta mkoa mwingine wa kujazia gapeAcha ujinga-Kagera,Mara,Simiyu na Tabora mama atazoa kura za kutosha,zitapungua kidogo Mwanza na Geita ila kote huko hakuna chama cha kuishinda ccm kwenye nafasi ya Rais...
Nyie wapinzani na sukuma gang hangaikeni na madiwani na wabunge.
Hatuna kisasi naye, in fact tunampenda sana.
Sisi hatuwataki CHADEMA, ni wadini na wakabila sana.
Una vituko we jamaa, yaani mkoa huo ambao serikali inawalipa wakulima bei nzuri ya pamba,wanapewa mbegu na viwatilifu bure wanaachaje kuichagua ccm na SSH?Kwa simiyu hapana tafuta mkoa mwingine wa kujazia gape
Hata watoto ni taifa la kesho, utakufa na roho yako mbaya ,Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.
Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.
Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 2254641
Wasukuma huwajui wewe mbegu gani wamepewa? Ujulinga ujinga tu!Una vituko we jamaa, yaani mkoa huo ambao serikali inawalipa wakulima bei nzuri ya pamba,wanapewa mbegu na viwatilifu bure wanaachaje kuichagua ccm na SSH?
Mkoa ambapo wakulima wanapewa mbegu za alizeti bure wanaachaje kumchafua kwa mfano?
👇Wasukuma huwajui wewe mbegu gani wamepewa? Ujulinga ujinga tu!
Hili ni gari bovu linalohitaji matangazo mengi ili biashara iweze kufanyika
Ndio hivyo hivyo litauzika👇Hili ni gari bovu linalohitaji matangazo mengi ili biashara iweze kufanyika
Mkuu hata sura yake ina matatizo JK ni handsomeKwani kuna biashara ya kuuza Marais? Anaeuzika ni nani tufike bei?
Hesabu zipi? Uongozi unahitaji matrix au logarithms? 👇
Sukuma gang is imagination of your mind.Hata mama asipokelewe hata mtu mmoja huko kanda ya yule mpumbavu. Sukuma gang hamna chenu.