Mapokezi ya Tundu Lissu Mlimani City kwenye sherehe ya siku ya wanawake duniani Kule Samia (Chura Kiziwi) huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya WaTZ

Mapokezi ya Tundu Lissu Mlimani City kwenye sherehe ya siku ya wanawake duniani Kule Samia (Chura Kiziwi) huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya WaTZ

Mbona hawajamtuma Afande Awadh aje apige watu au wamesahau?!
 
Raisi ajaye ni Tundu Lissu alitoe Taifa hili kwe hii RUSHWA iliyokithiri.
 
Tupe clip zote tuone tulinganishe. Anayejiteua na anayechaguliwa kwa kura za wazi
Hizo za wenzetu hao kijani utaangalia nini mzee kwa sababu utakachoona ni umati wa Polisi tu wakisukumana na wavaa miwani myeusi tu?
 
Back
Top Bottom