Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Akili kisoda [emoji23]Utasikia Ccm wanahoji kwanini Lissu kavaa koti la jeans?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili kisoda [emoji23]Utasikia Ccm wanahoji kwanini Lissu kavaa koti la jeans?
Jibu mujarabuYes, alipata zaidi ya kura mil 7.5, jiwe alipata kura chini ya mil 4, chache waligawana Rungwe na wenzake.
Waliojitokeza kupiga kura walikuwa mil 12 tu, Chukua hiyo!
hotuba itakusaidia nini au inaleta mkate home?Hapo nadhani tutapata hotuba ya kweli ya kiupinzani. Tunaomba Lisu asituangushe.
hazikutosha kuwa hata rais wa tff jamani au cwt?Yes, alipata zaidi ya kura mil 7.5, jiwe alipata kura chini ya mil 4, chache waligawana Rungwe na wenzake.
Waliojitokeza kupiga kura walikuwa mil 12 tu, Chukua hiyo!
Na TBC, Channel 10, Uhuru, Habaro Leo na Jamvi la Habari watatangaza habari hii au watakwepa?Utasikia Ccm wanahoji kwanini Lissu kavaa koti la jeans?
Ndio mwanasiasa pekee mwenye nguvu kubwa ya ushawishi Tanzania nzima kwa sasa.Sema lissu anakubalika sana
Labda ajapewa script bado na mwenyekiti wanatakiwa kusifia mama anaupiga mwingi ngoja afike tuone mtazamo.atakua kaanza vzr hivi, akianza kumsifia Bi Matozo naye tunatia kwenye kapu la taka
Apana swali sio hilo bali ni...:::Utasikia Ccm wanahoji kwanini Lissu kavaa koti la jeans?
hotuba itakusaidia nini au inaleta mkate home?
Unataka kusema mbowe kakuangusha?Hapo nadhani tutapata hotuba ya kweli ya kiupinzani. Tunaomba Lisu asituangushe.
aaah kumbe niliwale mnaosubiri mama atafute ule wewe uko busy na mikutano ya siasa, mmelaniwa watu wa namna hiiNimesharuka hatua za mkate, niko kwa hatua za mikutano.
Uwage mkweli achaga uwongo.Yes, alipata zaidi ya kura mil 7.5, jiwe alipata kura chini ya mil 4, chache waligawana Rungwe na wenzake.
Waliojitokeza kupiga kura walikuwa mil 12 tu, Chukua hiyo!
CCM WANAJUTA KWANINI WAMERUHUSU MIKUTANO KUNA MJINGA ALIWAAMINISHA KUWA UPINZANI UMEKUFA ..... MOTO WA MWANZA MUSOMA NA TARIMETaarifa ikufikie kwamba Maandalizi ya Mapokezi kabambe ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yamekamilika, ambako wanachama wa CHADEMA na wapiga kura wake waliomchagua kwa kishindo 2020 kabla ya Sarakasi za Dr. Mahera, wametakiwa kujipanga kuanzia uwanja wa ndege hadi Temeke.
Habari zaidi kutoka kwenye Kamati ya Mapokezi zinasema kwamba, baada ya kuwasili, Tundu Lissu ataenda moja kwa moja kwenye Mkutano wa Hadhara ulioandaliwa na chama chake Viwanja vya Bulyaga -Temeke, mkoani DSM, ambako anatarajiwa kuhutubia taifa.
Binafsi nimesikia gari la matangazo likipita mitaani kwetu huku Tandika Mwembeyanga likihamasisha Wananchi kumpokea Shujaa wao.
Usiondoke JF kwa taarifa zaidi.
View attachment 2493397
Wewe ni shabiki maandazi , sisi tumo ndani kabisa mle , muwe mnatuelewa , mwezi mzima kabla ya uchaguzi ule Tulifahamu kwamba Jiwe atapewa kura mil 12 , na ndio alizopewa .Uwage mkweli achaga uwongo.
Ngoja tukupashe ukweli usipotoshe watu.Wewe ni shabiki maandazi , sisi tumo ndani kabisa mle , muwe mnatuelewa , mwezi mzima kabla ya uchaguzi ule Tulifahamu kwamba Jiwe atapewa kura mil 12 , na ndio alizopewa .
Kuna kituo kimoja cha wapiga kura , jumla ya waliojiandikisha hapo walikuwa 150 , waliojitokeza kupiga kura walikuwa 103 , Tundu Lissu alipata kura 76 Jiwe alipata 20 tu , lakini kwenye ubao wa matangazo ikaandikwa Jiwe kapata kura 370 Lissu 76 , hizo kura zingine walitoa wapi ?
Kwako wewe haki ni nini , nimekupa mfano hai kabisa hapo juu , lakini unaleta porojoNgoja tukupashe ukweli usipotoshe watu.
Kweli urais Magufuli alishinda kwa haki.
Sehemu ambayo ilikuwa na walakini ni kwenye viti vya ubunge tu. Uwege mkweli usipotoshe watu
Sante kwa taarifaTaarifa ikufikie kwamba Maandalizi ya Mapokezi kabambe ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yamekamilika, ambako wanachama wa CHADEMA na wapiga kura wake waliomchagua kwa kishindo 2020 kabla ya Sarakasi za Dr. Mahera, wametakiwa kujipanga kuanzia uwanja wa ndege hadi Temeke.
Habari zaidi kutoka kwenye Kamati ya Mapokezi zinasema kwamba, baada ya kuwasili, Tundu Lissu ataenda moja kwa moja kwenye Mkutano wa Hadhara ulioandaliwa na chama chake Viwanja vya Bulyaga -Temeke, mkoani DSM, ambako anatarajiwa kuhutubia taifa.
Binafsi nimesikia gari la matangazo likipita mitaani kwetu huku Tandika Mwembeyanga likihamasisha Wananchi kumpokea Shujaa wao.
Usiondoke JF kwa taarifa zaidi.
View attachment 2493397
Apana swali sio hilo bali ni...:::
Jee anarudi moja kwa moja, au amekuja kuzuru tuu, nymbani ni Ubelgiji.
Jee wamerudi wote kama Familia, au kaja peke yake, nymbani ni Ubelgiji.
Jee atakuwa nasi hadi uchaguzi wa serekali za mitaa, au nymbani ni Ubelgiji.
Jee atahudhuria mikutano nchi nzima, au kaja tuu kuonyesha sura, au nymbani ni Ubelgiji.
😂😂😂😂Hata mimi huwa nafurahia sana uandishi wa huyu jamaa yangu.😄😄[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna u comedy mwingi sana ,ndiyo style yake ya uandishi.Utakutana na maneno "kimenuka" huwa nasoma huku nacheka sana.