Mapungufu ya hoja ya mifumo kusomana je, taifa gani mifumo haisomani

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE
NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ?

NIDA ijitegemee
INEC ijitegemee
Banki ijitegemee
NECTA ijitegemee
RITA ijitegemee
TRA ijitegemee
TUCTA ijitegemee
Utumishi Ijitegemee

Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima.
Leo unatumia Google play store kusajili Facebook kisha Facebook kusajili Instagram kisha Instagram kwenda Thread kisha Thread to tiktok

Maswali

Chadema walisajili wanachama wao kutumia NIDA kwanini?

Kabla ya NIDA kabla ya Digital Systems za Tanzania lini upinzani ulishinda uchaguzi ?

Kwa nchi ambazo wana one card Systems kwa kila jambo je nako wasishiriki uchaguzi?

Nchi zilizoendelea kama za ulaya,Marekani ,Canada na n.k kila raia kutambuliwa kwa itikadi za vyama kwa mfumo wa kitaifa kupitia card moja tu ?

Kitambulisho cha kitaifa cha usa 🇺🇸 hujaza taarifa zote ikiwemo itikadi za siasa na hujulikana ,je huko nako wasusie uchaguzi?

Kama hoja ni kuondoa mifumo inayosomana inamaana taifa letu litatakiwa kufanya reform za kuondoa mifumo yote kusomana kwamba hata NMB haitakiwi kujua taarifa ya CRDB kwa taasisi za mikopo ?

Kama taarifa zote zitajitegemea kitaasisi litakuwa taifa la giza katika zama hizi za teknolojia inayokuwa kwa kasi

Mpumbavu mkubwa wewe !!.
 
Intergration ya mifumo ni jambo la kheri ndio maana makampuni hutoa API kurahisisha baadhi ya mambo(mfano malipo ya huduma kama usafiri,biashara n.k)

Lakini kosa ni paleunapo grant permission kwa CCM kuaccess taarifa ambazo si za wanachama wake kwenye servers nyingine(hili kosa kubwa haijalishi hizi taarifa watazifanyia nini)
 
Mpumbavu mkubwa wewe !!.

Hahahahaha.

Ni either ujibu hoja au ukae kimya kama hoja kwako haina uzito na huna majibu ndugu.
Usipende sana kusikia yanayokufurahisha.
Hata siajabu unayoandika watu wanaweza kutumia lugha hiyo hiyo kukujibu, sasa sijui itakuwa JF ya namna gani.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Tunataka mifumo
MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE
NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ?

NIDA ijitegemee
INEC ijitegemee
Banki ijitegemee
NECTA ijitegemee
RITA ijitegemee
TRA ijitegemee
TUCTA ijitegemee
Utumishi Ijitegemee

Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima.
Leo unatumia Google play store kusajili Facebook kisha Facebook kusajili Instagram kisha Instagram kwenda Thread kisha Thread to tiktok

Maswali

Chadema walisajili wanachama wao kutumia NIDA kwanini?

Kabla ya NIDA kabla ya Digital Systems za Tanzania lini upinzani ulishinda uchaguzi ?

Kwa nchi ambazo wana one card Systems kwa kila jambo je nako wasishiriki uchaguzi?

Nchi zilizoendelea kama za ulaya,Marekani ,Canada na n.k kila raia kutambuliwa kwa itikadi za vyama kwa mfumo wa kitaifa kupitia card moja tu ?

Kitambulisho cha kitaifa cha usa 🇺🇸 hujaza taarifa zote ikiwemo itikadi za siasa na hujulikana ,je huko nako wasusie uchaguzi?

Kama hoja ni kuondoa mifumo inayosomana inamaana taifa letu litatakiwa kufanya reform za kuondoa mifumo yote kusomana kwamba hata NMB haitakiwi kujua taarifa ya CRDB kwa taasisi za mikopo ?

Kama taarifa zote zitajitegemea kitaasisi litakuwa taifa la giza katika zama hizi za teknolojia inayokuwa kwa kasi

USSR
Tunataka mifumo isomane lakini sio kusomana na ccm au chadema itatuvuruga.
 
Hahahahaha.

Ni either ujibu hoja au ukae kimya kama hoja kwako haina uzito na huna majibu ndugu.
Usipende sana kusikia yanayokufurahisha.
Hata siajabu unayoandika watu wanaweza kutumia lugha hiyo hiyo kukujibu, sasa sijui itakuwa JF ya namna gani.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Nitakuwa nje ya mada kidogo
Hivi Nangu maana yake hasa ni nini
 
MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE
NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ?

NIDA ijitegemee
INEC ijitegemee
Banki ijitegemee
NECTA ijitegemee
RITA ijitegemee
TRA ijitegemee
TUCTA ijitegemee
Utumishi Ijitegemee

Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima.
Leo unatumia Google play store kusajili Facebook kisha Facebook kusajili Instagram kisha Instagram kwenda Thread kisha Thread to tiktok

Maswali

Chadema walisajili wanachama wao kutumia NIDA kwanini?

Kabla ya NIDA kabla ya Digital Systems za Tanzania lini upinzani ulishinda uchaguzi ?

Kwa nchi ambazo wana one card Systems kwa kila jambo je nako wasishiriki uchaguzi?

Nchi zilizoendelea kama za ulaya,Marekani ,Canada na n.k kila raia kutambuliwa kwa itikadi za vyama kwa mfumo wa kitaifa kupitia card moja tu ?

Kitambulisho cha kitaifa cha usa 🇺🇸 hujaza taarifa zote ikiwemo itikadi za siasa na hujulikana ,je huko nako wasusie uchaguzi?

Kama hoja ni kuondoa mifumo inayosomana inamaana taifa letu litatakiwa kufanya reform za kuondoa mifumo yote kusomana kwamba hata NMB haitakiwi kujua taarifa ya CRDB kwa taasisi za mikopo ?

Kama taarifa zote zitajitegemea kitaasisi litakuwa taifa la giza katika zama hizi za teknolojia inayokuwa kwa kasi

USSR
Mwenzako makala anawaza aje na.jibu gani chawa unajifanya mjuaji
 
Back
Top Bottom