kingundya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 3,253
- 4,824
Ndio maana yake Kumbe.Mimi
Asili yake nasikia ni Tunduru
Ndio maana yake Kumbe.Mimi
Hicho ni ki_Makonde ninavyojua.Ndio maana yake Kumbe.
Asili yake nasikia ni Tunduru
Nangu mimiHicho ni ki_Makonde ninavyojua.
Maelezo yako ya kijinga usiyalete kwenye jukwaa la watu wenye fikra pevu hapa,MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE
NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ?
NIDA ijitegemee
INEC ijitegemee
Banki ijitegemee
NECTA ijitegemee
RITA ijitegemee
TRA ijitegemee
TUCTA ijitegemee
Utumishi Ijitegemee
Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima.
Leo unatumia Google play store kusajili Facebook kisha Facebook kusajili Instagram kisha Instagram kwenda Thread kisha Thread to tiktok
Maswali
Chadema walisajili wanachama wao kutumia NIDA kwanini?
Kabla ya NIDA kabla ya Digital Systems za Tanzania lini upinzani ulishinda uchaguzi ?
Kwa nchi ambazo wana one card Systems kwa kila jambo je nako wasishiriki uchaguzi?
Nchi zilizoendelea kama za ulaya,Marekani ,Canada na n.k kila raia kutambuliwa kwa itikadi za vyama kwa mfumo wa kitaifa kupitia card moja tu ?
Kitambulisho cha kitaifa cha usa 🇺🇸 hujaza taarifa zote ikiwemo itikadi za siasa na hujulikana ,je huko nako wasusie uchaguzi?
Kama hoja ni kuondoa mifumo inayosomana inamaana taifa letu litatakiwa kufanya reform za kuondoa mifumo yote kusomana kwamba hata NMB haitakiwi kujua taarifa ya CRDB kwa taasisi za mikopo ?
Kama taarifa zote zitajitegemea kitaasisi litakuwa taifa la giza katika zama hizi za teknolojia inayokuwa kwa kasi
USSR
Sasa wewe unatuambia nini wakati wenye mifumo wamesema hicho alichosema Polepole aliyeshiriki kusanifu hiyo mifumo,wamesema hakipo na haiwezekani!! Wewe unaiwakilisha taasisi ipi Sasa!!MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE
NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ?
NIDA ijitegemee
INEC ijitegemee
Banki ijitegemee
NECTA ijitegemee
RITA ijitegemee
TRA ijitegemee
TUCTA ijitegemee
Utumishi Ijitegemee
Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima.
Leo unatumia Google play store kusajili Facebook kisha Facebook kusajili Instagram kisha Instagram kwenda Thread kisha Thread to tiktok
Maswali
Chadema walisajili wanachama wao kutumia NIDA kwanini?
Kabla ya NIDA kabla ya Digital Systems za Tanzania lini upinzani ulishinda uchaguzi ?
Kwa nchi ambazo wana one card Systems kwa kila jambo je nako wasishiriki uchaguzi?
Nchi zilizoendelea kama za ulaya,Marekani ,Canada na n.k kila raia kutambuliwa kwa itikadi za vyama kwa mfumo wa kitaifa kupitia card moja tu ?
Kitambulisho cha kitaifa cha usa 🇺🇸 hujaza taarifa zote ikiwemo itikadi za siasa na hujulikana ,je huko nako wasusie uchaguzi?
Kama hoja ni kuondoa mifumo inayosomana inamaana taifa letu litatakiwa kufanya reform za kuondoa mifumo yote kusomana kwamba hata NMB haitakiwi kujua taarifa ya CRDB kwa taasisi za mikopo ?
Kama taarifa zote zitajitegemea kitaasisi litakuwa taifa la giza katika zama hizi za teknolojia inayokuwa kwa kasi
USSR
Mkuu ni ama hujamuelewa kabisa HP au umeuelewa vizuri ila unaamua kumislead watu makusudi.MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE
NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ?
NIDA ijitegemee
INEC ijitegemee
Banki ijitegemee
NECTA ijitegemee
RITA ijitegemee
TRA ijitegemee
TUCTA ijitegemee
Utumishi Ijitegemee
Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima.
Leo unatumia Google play store kusajili Facebook kisha Facebook kusajili Instagram kisha Instagram kwenda Thread kisha Thread to tiktok
Maswali
Chadema walisajili wanachama wao kutumia NIDA kwanini?
Kabla ya NIDA kabla ya Digital Systems za Tanzania lini upinzani ulishinda uchaguzi ?
Kwa nchi ambazo wana one card Systems kwa kila jambo je nako wasishiriki uchaguzi?
Nchi zilizoendelea kama za ulaya,Marekani ,Canada na n.k kila raia kutambuliwa kwa itikadi za vyama kwa mfumo wa kitaifa kupitia card moja tu ?
Kitambulisho cha kitaifa cha usa 🇺🇸 hujaza taarifa zote ikiwemo itikadi za siasa na hujulikana ,je huko nako wasusie uchaguzi?
Kama hoja ni kuondoa mifumo inayosomana inamaana taifa letu litatakiwa kufanya reform za kuondoa mifumo yote kusomana kwamba hata NMB haitakiwi kujua taarifa ya CRDB kwa taasisi za mikopo ?
Kama taarifa zote zitajitegemea kitaasisi litakuwa taifa la giza katika zama hizi za teknolojia inayokuwa kwa kasi
USSR
🙋✍️🎯👏👍🤝🙏Intergration ya mifumo ni jambo la kheri ndio maana makampuni hutoa API kurahisisha baadhi ya mambo(mfano malipo ya huduma kama usafiri,biashara n.k)
Lakini kosa ni paleunapo grant permission kwa CCM kuaccess taarifa ambazo si za wanachama wake kwenye servers nyingine(hili kosa kubwa haijalishi hizi taarifa watazifanyia nini)
🤣 🤣 🤣 🔊Sasa wewe unatuambia nini wakati wenye mifumo wamesema hicho alichosema Polepole aliyeshiriki kusanifu hiyo mifumo,wamesema hakipo na haiwezekani!! Wewe unaiwakilisha taasisi ipi Sasa!!
MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE
NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ?
NIDA ijitegemee
INEC ijitegemee
Banki ijitegemee
NECTA ijitegemee
RITA ijitegemee
TRA ijitegemee
TUCTA ijitegemee
Utumishi Ijitegemee
Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima.
Leo unatumia Google play store kusajili Facebook kisha Facebook kusajili Instagram kisha Instagram kwenda Thread kisha Thread to tiktok
Maswali
Chadema walisajili wanachama wao kutumia NIDA kwanini?
Kabla ya NIDA kabla ya Digital Systems za Tanzania lini upinzani ulishinda uchaguzi ?
Kwa nchi ambazo wana one card Systems kwa kila jambo je nako wasishiriki uchaguzi?
Nchi zilizoendelea kama za ulaya,Marekani ,Canada na n.k kila raia kutambuliwa kwa itikadi za vyama kwa mfumo wa kitaifa kupitia card moja tu ?
Kitambulisho cha kitaifa cha usa 🇺🇸 hujaza taarifa zote ikiwemo itikadi za siasa na hujulikana ,je huko nako wasusie uchaguzi?
Kama hoja ni kuondoa mifumo inayosomana inamaana taifa letu litatakiwa kufanya reform za kuondoa mifumo yote kusomana kwamba hata NMB haitakiwi kujua taarifa ya CRDB kwa taasisi za mikopo ?
Kama taarifa zote zitajitegemea kitaasisi litakuwa taifa la giza katika zama hizi za teknolojia inayokuwa kwa kasi
USSR
Hahahahaha.
Ni either ujibu hoja au ukae kimya kama hoja kwako haina uzito na huna majibu ndugu.
Usipende sana kusikia yanayokufurahisha.
Hata siajabu unayoandika watu wanaweza kutumia lugha hiyo hiyo kukujibu, sasa sijui itakuwa JF ya namna gani.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Wenzio wanakanusha kwamba haisomani wewe unasema litakuwa taifa la ajabu. Wewe na kailima nani ajua zaidi mifumo ya tumeMAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE