MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE
NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ?
NIDA ijitegemee
INEC ijitegemee
Banki ijitegemee
NECTA ijitegemee
RITA ijitegemee
TRA ijitegemee
TUCTA ijitegemee
Utumishi Ijitegemee
Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima.
Leo unatumia Google play store kusajili Facebook kisha Facebook kusajili Instagram kisha Instagram kwenda Thread kisha Thread to tiktok
Maswali
Chadema walisajili wanachama wao kutumia NIDA kwanini?
Kabla ya NIDA kabla ya Digital Systems za Tanzania lini upinzani ulishinda uchaguzi ?
Kwa nchi ambazo wana one card Systems kwa kila jambo je nako wasishiriki uchaguzi?
Nchi zilizoendelea kama za ulaya,Marekani ,Canada na n.k kila raia kutambuliwa kwa itikadi za vyama kwa mfumo wa kitaifa kupitia card moja tu ?
Kitambulisho cha kitaifa cha usa 🇺🇸 hujaza taarifa zote ikiwemo itikadi za siasa na hujulikana ,je huko nako wasusie uchaguzi?
Kama hoja ni kuondoa mifumo inayosomana inamaana taifa letu litatakiwa kufanya reform za kuondoa mifumo yote kusomana kwamba hata NMB haitakiwi kujua taarifa ya CRDB kwa taasisi za mikopo ?
Kama taarifa zote zitajitegemea kitaasisi litakuwa taifa la giza katika zama hizi za teknolojia inayokuwa kwa kasi
USSR