Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,450
- 17,648
Yuko Sahihi Kukuambia Ww Ni Mpumbavu.
Vijana Mliopo CCM,Huwa Hamna Uzalendo,na Huwa Hata Kazi Hamfanyi,ni Watu Wa Vitonga Na Michongo Kutoka Kwa Viongozi.
Na Kodi Hamlipi Ndio Maana,mnakenua Tu Meno Na Kuleta Mizaa Kwenye Maslahi Ya Umma Wote. Hamna Uchungu Na Nchi Hii.
Ndio Maana Umeandika Ushuzi Kama Desturi Ya Makada Wa Ccm.
Hahahaha, aisee.
Kwa kukusaidia, hii nchi ni huru kila mtu ana haki yakuwa mwanachama wa chama chochote na kutetea kile anachokiamini mradi asivunje Sheria.
Kama unaona mtazamo wako na wa mtu mwingine hatuko sawa unapaswa kumuelewesha kwa hoja na ikishindikana basi achana naye tu.
Tukianza humu JF kila unayeona hajaandika kinachokufurahisha unamtukana, basi server humu zitakaa matusi maana kila mtu anaweza kutukana.
Halafu ubabe kama unaona watawala hawakutendei haki hauna maana ukiuleta humu, kama wewe ni mbabe na shababi kweli chukua bunduki nenda msituni au badili ID tumia ID yako anza kutukana watu hovyo uwezavyo utakutana na wababe wenzako, lakini kusema sema hovyo hovyo tu humu JF huku unatumia fake ID haikusaidii mkuu.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.