Mapungufu ya hoja ya mifumo kusomana je, taifa gani mifumo haisomani

Wa CCM ujitegemee tafadhali
 
Sawa, kasema nia ilikuwa ni njema lakini inatumika vibaya kuwabeba wengine na kuwaumiza wengine. Ndivyo Polepole kasema. Halafu unapoleta hapa mifano ya Marekani ni kama vile unajaribu kuunganisha Mbingu na Dunia ilihali unajua fika kuwa ni vitu ambavyo haviwezekani.

Chukua alichokisema, tufanyie kazi vikorombwezo vingine ni kujaribu kufifisha hoja mama.
 

Yuko Sahihi Kukuambia Ww Ni Mpumbavu.
Vijana Mliopo CCM,Huwa Hamna Uzalendo,na Huwa Hata Kazi Hamfanyi,ni Watu Wa Vitonga Na Michongo Kutoka Kwa Viongozi.
Na Kodi Hamlipi Ndio Maana,mnakenua Tu Meno Na Kuleta Mizaa Kwenye Maslahi Ya Umma Wote. Hamna Uchungu Na Nchi Hii.
Ndio Maana Umeandika Ushuzi Kama Desturi Ya Makada Wa Ccm.
 
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE POLISI /MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
 
Ishu siyo mifumo kusomana, bali mfumo gani unausoma mfumo mwingine???? Hebu waza, hapo ulipo ungekuwa unaweza kuusoma mfumo wa benki unakotunza fedha zako, au hata mifumo ya hela hela za kwenye mitandao ya simu, nini kingetokea?
 
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE POLISI /MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
Shida ipo hiv.

Waalimu wanamaisha magumu hasa huko Vijijini. Hawawezi kupitisha mez hata mmoja bila mshahara. Sasa hapo likitoka agizo kwa Mkurugenzi kwamba wewe kasimamie kule na wewe kule. Uwezekano wa hao waalimu kukataa ni mdogo sana.

Ingekuwepo njia ya kufanya bila kuyahusisha haya makundi dhaifu ingekua njema sana.
 
Kwani Marekani hakuna wasiwasi wa wizi wa kura kumbuka uchaguzi wa 2020 Trump aligoma akisema ameibiwa kura vipi hata BUSH VS Al gorgeous

USSR
 
Shida sio mifumo kusomana, shida ni mfumo wa INEC kusomana na chama cha siasa ambacho ni CCM. Swali ni je, INEC ina taarifa za wapiga kura wote au taarifa za wanachama wa CCM. Taarifa zilizopo NIDA ni za wanachama wa CCM tu au watanzania wote?
 
Kwani Marekani hakuna wasiwasi wa wizi wa kura kumbuka uchaguzi wa 2020 Trump aligoma akisema ameibiwa kura vipi hata BUSH VS Al gorgeous

USSR
Soma ulichoandika, soma nilichojibu!
 
Na swali
Kura zinaibiwa au haziibiwi?
 
Kiswahili sanifu ni upungufu sio mapungufu,neno mapungufu halina wingi,hii naandika sana tu
 


Wewe kweli kichwani ni mtupu kabisa.

Kama tunataka mifumo isomane, basi vyama vyote vya siasa viunganishwe kwenye mifumo hiyo. Lakini kama ni CCM pekee, huo ni ubatili, na mwendelezo wa ushetani wa CCM, wa siku zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…