Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,450
- 17,648
Yuko Sahihi Kukuambia Ww Ni Mpumbavu.
Vijana Mliopo CCM,Huwa Hamna Uzalendo,na Huwa Hata Kazi Hamfanyi,ni Watu Wa Vitonga Na Michongo Kutoka Kwa Viongozi.
Na Kodi Hamlipi Ndio Maana,mnakenua Tu Meno Na Kuleta Mizaa Kwenye Maslahi Ya Umma Wote. Hamna Uchungu Na Nchi Hii.
Ndio Maana Umeandika Ushuzi Kama Desturi Ya Makada Wa Ccm.
Kwa taifa lenye uadilifu wa viongozi na watu wake hiyo ni vizuri nanisalama,ila si kwa taifa lisilo heshimu hata katiba yake!MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE
NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ?
NIDA ijitegemee
INEC ijitegemee
Banki ijitegemee
NECTA ijitegemee
RITA ijitegemee
TRA ijitegemee
TUCTA ijitegemee
Utumishi Ijitegemee
Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima.
Leo unatumia Google play store kusajili Facebook kisha Facebook kusajili Instagram kisha Instagram kwenda Thread kisha Thread to tiktok
Maswali
Chadema walisajili wanachama wao kutumia NIDA kwanini?
Kabla ya NIDA kabla ya Digital Systems za Tanzania lini upinzani ulishinda uchaguzi ?
Kwa nchi ambazo wana one card Systems kwa kila jambo je nako wasishiriki uchaguzi?
Nchi zilizoendelea kama za ulaya,Marekani ,Canada na n.k kila raia kutambuliwa kwa itikadi za vyama kwa mfumo wa kitaifa kupitia card moja tu ?
Kitambulisho cha kitaifa cha usa ๐บ๐ธ hujaza taarifa zote ikiwemo itikadi za siasa na hujulikana ,je huko nako wasusie uchaguzi?
Kama hoja ni kuondoa mifumo inayosomana inamaana taifa letu litatakiwa kufanya reform za kuondoa mifumo yote kusomana kwamba hata NMB haitakiwi kujua taarifa ya CRDB kwa taasisi za mikopo ?
Kama taarifa zote zitajitegemea kitaasisi litakuwa taifa la giza katika zama hizi za teknolojia inayokuwa kwa kasi
USSR
Hujasema pia iweje mfumo wa NIDA unasomana na ccm ? Baadae umeweka hoja iliyojaa ujinga eti Kwa nn chadema walisajili wanachama na namba za NIDA!!MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE
NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ?
NIDA ijitegemee
INEC ijitegemee
Banki ijitegemee
NECTA ijitegemee
RITA ijitegemee
TRA ijitegemee
TUCTA ijitegemee
Utumishi Ijitegemee
Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima.
Leo unatumia Google play store kusajili Facebook kisha Facebook kusajili Instagram kisha Instagram kwenda Thread kisha Thread to tiktok
Maswali
Chadema walisajili wanachama wao kutumia NIDA kwanini?
Kabla ya NIDA kabla ya Digital Systems za Tanzania lini upinzani ulishinda uchaguzi ?
Kwa nchi ambazo wana one card Systems kwa kila jambo je nako wasishiriki uchaguzi?
Nchi zilizoendelea kama za ulaya,Marekani ,Canada na n.k kila raia kutambuliwa kwa itikadi za vyama kwa mfumo wa kitaifa kupitia card moja tu ?
Kitambulisho cha kitaifa cha usa ๐บ๐ธ hujaza taarifa zote ikiwemo itikadi za siasa na hujulikana ,je huko nako wasusie uchaguzi?
Kama hoja ni kuondoa mifumo inayosomana inamaana taifa letu litatakiwa kufanya reform za kuondoa mifumo yote kusomana kwamba hata NMB haitakiwi kujua taarifa ya CRDB kwa taasisi za mikopo ?
Kama taarifa zote zitajitegemea kitaasisi litakuwa taifa la giza katika zama hizi za teknolojia inayokuwa kwa kasi
USSR
Ujinga kweli kweliHujasema pia iweje mfumo wa NIDA unasomana na ccm ? Baadae umeweka hoja iliyojaa ujinga eti Kwa nn chadema walisajili wanachama na namba za NIDA!!
Wew umeleta hoja ya kijinga sana hapa.MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE
NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ?
NIDA ijitegemee
INEC ijitegemee
Banki ijitegemee
NECTA ijitegemee
RITA ijitegemee
TRA ijitegemee
TUCTA ijitegemee
Utumishi Ijitegemee
Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima.
Leo unatumia Google play store kusajili Facebook kisha Facebook kusajili Instagram kisha Instagram kwenda Thread kisha Thread to tiktok
Maswali
Chadema walisajili wanachama wao kutumia NIDA kwanini?
Kabla ya NIDA kabla ya Digital Systems za Tanzania lini upinzani ulishinda uchaguzi ?
Kwa nchi ambazo wana one card Systems kwa kila jambo je nako wasishiriki uchaguzi?
Nchi zilizoendelea kama za ulaya,Marekani ,Canada na n.k kila raia kutambuliwa kwa itikadi za vyama kwa mfumo wa kitaifa kupitia card moja tu ?
Kitambulisho cha kitaifa cha usa ๐บ๐ธ hujaza taarifa zote ikiwemo itikadi za siasa na hujulikana ,je huko nako wasusie uchaguzi?
Kama hoja ni kuondoa mifumo inayosomana inamaana taifa letu litatakiwa kufanya reform za kuondoa mifumo yote kusomana kwamba hata NMB haitakiwi kujua taarifa ya CRDB kwa taasisi za mikopo ?
Kama taarifa zote zitajitegemea kitaasisi litakuwa taifa la giza katika zama hizi za teknolojia inayokuwa kwa kasi
USSR
Huyu kada wao kichwa chake kimejaza upupu.Hujasema pia iweje mfumo wa NIDA unasomana na ccm ? Baadae umeweka hoja iliyojaa ujinga eti Kwa nn chadema walisajili wanachama na namba za NIDA!!
MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE

๐ค๐ Unazinguahahaha, Nangu kingundya..
Jina langu Kingundya, jina langu Nyau.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Kwa mfano slow slow angesema chadema wame link mifumo yao na nida na tume ya uchaguzi.Ungesemaje hapo?MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE
NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ?
NIDA ijitegemee
INEC ijitegemee
Banki ijitegemee
NECTA ijitegemee
RITA ijitegemee
TRA ijitegemee
TUCTA ijitegemee
Utumishi Ijitegemee
Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima.
Leo unatumia Google play store kusajili Facebook kisha Facebook kusajili Instagram kisha Instagram kwenda Thread kisha Thread to tiktok
Maswali
Chadema walisajili wanachama wao kutumia NIDA kwanini?
Kabla ya NIDA kabla ya Digital Systems za Tanzania lini upinzani ulishinda uchaguzi ?
Kwa nchi ambazo wana one card Systems kwa kila jambo je nako wasishiriki uchaguzi?
Nchi zilizoendelea kama za ulaya,Marekani ,Canada na n.k kila raia kutambuliwa kwa itikadi za vyama kwa mfumo wa kitaifa kupitia card moja tu ?
Kitambulisho cha kitaifa cha usa ๐บ๐ธ hujaza taarifa zote ikiwemo itikadi za siasa na hujulikana ,je huko nako wasusie uchaguzi?
Kama hoja ni kuondoa mifumo inayosomana inamaana taifa letu litatakiwa kufanya reform za kuondoa mifumo yote kusomana kwamba hata NMB haitakiwi kujua taarifa ya CRDB kwa taasisi za mikopo ?
Kama taarifa zote zitajitegemea kitaasisi litakuwa taifa la giza katika zama hizi za teknolojia inayokuwa kwa kasi
USSR
CCM ijitegemee, mbona hujaiweka?MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE

Usidhani hatujui tofauti. Kwanza bado ni sehemu nyingi tena za serekali bado hiyo mifumo haisomani. Mnatengeneza idadi ya kupika ya wapiga kura ili mchezee uchaguzi kisha unaleta habari za mifumo kusomana.MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE
NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ?
NIDA ijitegemee
INEC ijitegemee
Banki ijitegemee
NECTA ijitegemee
RITA ijitegemee
TRA ijitegemee
TUCTA ijitegemee
Utumishi Ijitegemee
Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima.
Leo unatumia Google play store kusajili Facebook kisha Facebook kusajili Instagram kisha Instagram kwenda Thread kisha Thread to tiktok
Maswali
Chadema walisajili wanachama wao kutumia NIDA kwanini?
Kabla ya NIDA kabla ya Digital Systems za Tanzania lini upinzani ulishinda uchaguzi ?
Kwa nchi ambazo wana one card Systems kwa kila jambo je nako wasishiriki uchaguzi?
Nchi zilizoendelea kama za ulaya,Marekani ,Canada na n.k kila raia kutambuliwa kwa itikadi za vyama kwa mfumo wa kitaifa kupitia card moja tu ?
Kitambulisho cha kitaifa cha usa ๐บ๐ธ hujaza taarifa zote ikiwemo itikadi za siasa na hujulikana ,je huko nako wasusie uchaguzi?
Kama hoja ni kuondoa mifumo inayosomana inamaana taifa letu litatakiwa kufanya reform za kuondoa mifumo yote kusomana kwamba hata NMB haitakiwi kujua taarifa ya CRDB kwa taasisi za mikopo ?
Kama taarifa zote zitajitegemea kitaasisi litakuwa taifa la giza katika zama hizi za teknolojia inayokuwa kwa kasi
USSR
Kwa kuwa hoja ilikuwa mifumo kuunganishwa na CCM na wewe umekwepa kuiorodhesha CCM, basi hoja yako lazima ni ovu!MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE
NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ?
NIDA ijitegemee
INEC ijitegemee
Banki ijitegemee
NECTA ijitegemee
RITA ijitegemee
TRA ijitegemee
TUCTA ijitegemee
Utumishi Ijitegemee
Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima.
Leo unatumia Google play store kusajili Facebook kisha Facebook kusajili Instagram kisha Instagram kwenda Thread kisha Thread to tiktok
Maswali
Chadema walisajili wanachama wao kutumia NIDA kwanini?
Kabla ya NIDA kabla ya Digital Systems za Tanzania lini upinzani ulishinda uchaguzi ?
Kwa nchi ambazo wana one card Systems kwa kila jambo je nako wasishiriki uchaguzi?
Nchi zilizoendelea kama za ulaya,Marekani ,Canada na n.k kila raia kutambuliwa kwa itikadi za vyama kwa mfumo wa kitaifa kupitia card moja tu ?
Kitambulisho cha kitaifa cha usa ๐บ๐ธ hujaza taarifa zote ikiwemo itikadi za siasa na hujulikana ,je huko nako wasusie uchaguzi?
Kama hoja ni kuondoa mifumo inayosomana inamaana taifa letu litatakiwa kufanya reform za kuondoa mifumo yote kusomana kwamba hata NMB haitakiwi kujua taarifa ya CRDB kwa taasisi za mikopo ?
Kama taarifa zote zitajitegemea kitaasisi litakuwa taifa la giza katika zama hizi za teknolojia inayokuwa kwa kasi
USSR
Akijibu, nishtue!Leo mnaitolea U.S. mfano wakati huwa mnawaita mabeberu?
Haya tufanye Polepole katudanganya hebu tupe maelezo ya video hizi mbili ikiwemo mbinu za ushindi za CCM za Nape Vs ex DC Longido.
Nape alisema box la kura haliamui mshindi bali anayehesabu na kutangaza.
View: https://youtu.be/bsMYAk6cWaE?si=ewcL_cZJ0vuQiW8k
Huyu ex DC wa Longido yeye alisema kuna mbinu nyingine zinatumika maporini.
View: https://youtu.be/dTvdkX19XOs?si=tUUgSyPxgQvxULvA
Sasa tueleze CCM mnashindaje tofauti na mbinu hizo.