Ccm nayo ijitegemee. Mbona umeishia njiani?MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE
NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ?
NIDA ijitegemee
INEC ijitegemee
Banki ijitegemee
NECTA ijitegemee
RITA ijitegemee
TRA ijitegemee
TUCTA ijitegemee
Utumishi Ijitegemee
Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima.
Leo unatumia Google play store kusajili Facebook kisha Facebook kusajili Instagram kisha Instagram kwenda Thread kisha Thread to tiktok
Maswali
Chadema walisajili wanachama wao kutumia NIDA kwanini?
Kabla ya NIDA kabla ya Digital Systems za Tanzania lini upinzani ulishinda uchaguzi ?
Kwa nchi ambazo wana one card Systems kwa kila jambo je nako wasishiriki uchaguzi?
Nchi zilizoendelea kama za ulaya,Marekani ,Canada na n.k kila raia kutambuliwa kwa itikadi za vyama kwa mfumo wa kitaifa kupitia card moja tu ?
Kitambulisho cha kitaifa cha usa 🇺🇸 hujaza taarifa zote ikiwemo itikadi za siasa na hujulikana ,je huko nako wasusie uchaguzi?
Kama hoja ni kuondoa mifumo inayosomana inamaana taifa letu litatakiwa kufanya reform za kuondoa mifumo yote kusomana kwamba hata NMB haitakiwi kujua taarifa ya CRDB kwa taasisi za mikopo ?
Kama taarifa zote zitajitegemea kitaasisi litakuwa taifa la giza katika zama hizi za teknolojia inayokuwa kwa kasi
USSR
Kwa hiyo ACT na CHAUMA nao mmewaingiza? Huu mfumo utakuwa bomba sana!MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE

Mbona umetumia busara sana kumjibu mjinga hao ni wapotoshaji wakubwaCCM inahusika vipi na data binafsi za watu wa Nida. Kwanini habari zako binafsi kama makazi, jina la Mama na historia yako iwe kwenye chama cha siasa wakati hujawapa!!! tena kwa wezeshwa na serikali. Hizi ni habari zinatakiwa kubaki serikalini tena hata serikalini iwe siri na kunasheria za jinsi ya kutumia data. Wewe unaongelea kitu tofauti kabisa. Kwa ufupi inawezekana unapotosha au haujaelewa
Marekani unaenda mahakamani, hapa unaenda wapi?Kwani Marekani hakuna wasiwasi wa wizi wa kura kumbuka uchaguzi wa 2020 Trump aligoma akisema ameibiwa kura vipi hata BUSH VS Al gorgeous
USSR
Ukisikiliza hoja za Polepole kuna ujumbe mzito anataka kufikisha kwa jamiiMAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE
NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ?
NIDA ijitegemee
INEC ijitegemee
Banki ijitegemee
NECTA ijitegemee
RITA ijitegemee
TRA ijitegemee
TUCTA ijitegemee
Utumishi Ijitegemee
Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima.
Leo unatumia Google play store kusajili Facebook kisha Facebook kusajili Instagram kisha Instagram kwenda Thread kisha Thread to tiktok
Maswali
Chadema walisajili wanachama wao kutumia NIDA kwanini?
Kabla ya NIDA kabla ya Digital Systems za Tanzania lini upinzani ulishinda uchaguzi ?
Kwa nchi ambazo wana one card Systems kwa kila jambo je nako wasishiriki uchaguzi?
Nchi zilizoendelea kama za ulaya,Marekani ,Canada na n.k kila raia kutambuliwa kwa itikadi za vyama kwa mfumo wa kitaifa kupitia card moja tu ?
Kitambulisho cha kitaifa cha usa 🇺🇸 hujaza taarifa zote ikiwemo itikadi za siasa na hujulikana ,je huko nako wasusie uchaguzi?
Kama hoja ni kuondoa mifumo inayosomana inamaana taifa letu litatakiwa kufanya reform za kuondoa mifumo yote kusomana kwamba hata NMB haitakiwi kujua taarifa ya CRDB kwa taasisi za mikopo ?
Kama taarifa zote zitajitegemea kitaasisi litakuwa taifa la giza katika zama hizi za teknolojia inayokuwa kwa kasi
USSR
Watu Wenye Akili za Panya Bwana, Hata waelimishwe Vipi, Huwa hawaelewi, Tazito Siyo Mifumo Kusomana, Tatizo ni Chama Cha siasa Kuwa na Acces Kwenye sensitive data.MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE
NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ?
NIDA ijitegemee
INEC ijitegemee
Banki ijitegemee
NECTA ijitegemee
RITA ijitegemee
TRA ijitegemee
TUCTA ijitegemee
Utumishi Ijitegemee
Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima.
Leo unatumia Google play store kusajili Facebook kisha Facebook kusajili Instagram kisha Instagram kwenda Thread kisha Thread to tiktok
Maswali
Chadema walisajili wanachama wao kutumia NIDA kwanini?
Kabla ya NIDA kabla ya Digital Systems za Tanzania lini upinzani ulishinda uchaguzi ?
Kwa nchi ambazo wana one card Systems kwa kila jambo je nako wasishiriki uchaguzi?
Nchi zilizoendelea kama za ulaya,Marekani ,Canada na n.k kila raia kutambuliwa kwa itikadi za vyama kwa mfumo wa kitaifa kupitia card moja tu ?
Kitambulisho cha kitaifa cha usa 🇺🇸 hujaza taarifa zote ikiwemo itikadi za siasa na hujulikana ,je huko nako wasusie uchaguzi?
Kama hoja ni kuondoa mifumo inayosomana inamaana taifa letu litatakiwa kufanya reform za kuondoa mifumo yote kusomana kwamba hata NMB haitakiwi kujua taarifa ya CRDB kwa taasisi za mikopo ?
Kama taarifa zote zitajitegemea kitaasisi litakuwa taifa la giza katika zama hizi za teknolojia inayokuwa kwa kasi
USSR
Watu ni wapuuzi sana mkuu. Hata darasa la 3B akimsikiliza Polepole anajua kuwa jamaa anaongea pumba. Ila ajabu kuna watu wanaona anaongea point. Polepole hakuwahi kuwa hata mjumbe wa National Security Committee, then mtu unaanzaje kumuamini kuwa ana classified info za nchi?MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE
NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ?
NIDA ijitegemee
INEC ijitegemee
Banki ijitegemee
NECTA ijitegemee
RITA ijitegemee
TRA ijitegemee
TUCTA ijitegemee
Utumishi Ijitegemee
Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima.
Leo unatumia Google play store kusajili Facebook kisha Facebook kusajili Instagram kisha Instagram kwenda Thread kisha Thread to tiktok
Maswali
Chadema walisajili wanachama wao kutumia NIDA kwanini?
Kabla ya NIDA kabla ya Digital Systems za Tanzania lini upinzani ulishinda uchaguzi ?
Kwa nchi ambazo wana one card Systems kwa kila jambo je nako wasishiriki uchaguzi?
Nchi zilizoendelea kama za ulaya,Marekani ,Canada na n.k kila raia kutambuliwa kwa itikadi za vyama kwa mfumo wa kitaifa kupitia card moja tu ?
Kitambulisho cha kitaifa cha usa 🇺🇸 hujaza taarifa zote ikiwemo itikadi za siasa na hujulikana ,je huko nako wasusie uchaguzi?
Kama hoja ni kuondoa mifumo inayosomana inamaana taifa letu litatakiwa kufanya reform za kuondoa mifumo yote kusomana kwamba hata NMB haitakiwi kujua taarifa ya CRDB kwa taasisi za mikopo ?
Kama taarifa zote zitajitegemea kitaasisi litakuwa taifa la giza katika zama hizi za teknolojia inayokuwa kwa kasi
USSR
Tena ni criminal ofenceIntergration ya mifumo ni jambo la kheri ndio maana makampuni hutoa API kurahisisha baadhi ya mambo(mfano malipo ya huduma kama usafiri,biashara n.k)
Lakini kosa ni paleunapo grant permission kwa CCM kuaccess taarifa ambazo si za wanachama wake kwenye servers nyingine(hili kosa kubwa haijalishi hizi taarifa watazifanyia nini)
Darasa la pili swali hili linaulizwa kupima uelewa wa mwanafunziMAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE
NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ?
NIDA ijitegemee
INEC ijitegemee
Banki ijitegemee
NECTA ijitegemee
RITA ijitegemee
TRA ijitegemee
TUCTA ijitegemee
Utumishi Ijitegemee
Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima.
Leo unatumia Google play store kusajili Facebook kisha Facebook kusajili Instagram kisha Instagram kwenda Thread kisha Thread to tiktok
Maswali
Chadema walisajili wanachama wao kutumia NIDA kwanini?
Kabla ya NIDA kabla ya Digital Systems za Tanzania lini upinzani ulishinda uchaguzi ?
Kwa nchi ambazo wana one card Systems kwa kila jambo je nako wasishiriki uchaguzi?
Nchi zilizoendelea kama za ulaya,Marekani ,Canada na n.k kila raia kutambuliwa kwa itikadi za vyama kwa mfumo wa kitaifa kupitia card moja tu ?
Kitambulisho cha kitaifa cha usa 🇺🇸 hujaza taarifa zote ikiwemo itikadi za siasa na hujulikana ,je huko nako wasusie uchaguzi?
Kama hoja ni kuondoa mifumo inayosomana inamaana taifa letu litatakiwa kufanya reform za kuondoa mifumo yote kusomana kwamba hata NMB haitakiwi kujua taarifa ya CRDB kwa taasisi za mikopo ?
Kama taarifa zote zitajitegemea kitaasisi litakuwa taifa la giza katika zama hizi za teknolojia inayokuwa kwa kasi
USSR
Haahaa una moyo mkuu..Watu ni wapuuzi sana mkuu. Hata darasa la 3B akimsikiliza Polepole anajua kuwa jamaa anaongea pumba. Ila ajabu kuna watu wanaona anaongea point. Polepole hakuwahi kuwa hata mjumbe wa National Security Committee, then mtu unaanzaje kumuamini kuwa ana classified info za nchi?
Mambo mengine mabaya si ya kufarahia jambo unafaidika nayo, kuna siku itakugeuka utaanza kujutiaMAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE
NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ?
NIDA ijitegemee
INEC ijitegemee
Banki ijitegemee
NECTA ijitegemee
RITA ijitegemee
TRA ijitegemee
TUCTA ijitegemee
Utumishi Ijitegemee
Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima.
Leo unatumia Google play store kusajili Facebook kisha Facebook kusajili Instagram kisha Instagram kwenda Thread kisha Thread to tiktok
Maswali
Chadema walisajili wanachama wao kutumia NIDA kwanini?
Kabla ya NIDA kabla ya Digital Systems za Tanzania lini upinzani ulishinda uchaguzi ?
Kwa nchi ambazo wana one card Systems kwa kila jambo je nako wasishiriki uchaguzi?
Nchi zilizoendelea kama za ulaya,Marekani ,Canada na n.k kila raia kutambuliwa kwa itikadi za vyama kwa mfumo wa kitaifa kupitia card moja tu ?
Kitambulisho cha kitaifa cha usa 🇺🇸 hujaza taarifa zote ikiwemo itikadi za siasa na hujulikana ,je huko nako wasusie uchaguzi?
Kama hoja ni kuondoa mifumo inayosomana inamaana taifa letu litatakiwa kufanya reform za kuondoa mifumo yote kusomana kwamba hata NMB haitakiwi kujua taarifa ya CRDB kwa taasisi za mikopo ?
Kama taarifa zote zitajitegemea kitaasisi litakuwa taifa la giza katika zama hizi za teknolojia inayokuwa kwa kasi
USSR
Huyo kichwa pumbu ni mweupe mno, hilo bichwa lijaa utabiri wa manabiiHahahahaha.
Ni either ujibu hoja au ukae kimya kama hoja kwako haina uzito na huna majibu ndugu.
Usipende sana kusikia yanayokufurahisha.
Hata siajabu unayoandika watu wanaweza kutumia lugha hiyo hiyo kukujibu, sasa sijui itakuwa JF ya namna gani.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
MimiNitakuwa nje ya mada kidogo
Hivi Nangu maana yake hasa ni nini
Hapo orodha haina shida, lakini ongezea CCM kwenye list ndo utaelewa alichomaanisha Kiroboto.MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE
NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ?
NIDA ijitegemee
INEC ijitegemee
Banki ijitegemee
NECTA ijitegemee
RITA ijitegemee
TRA ijitegemee
TUCTA ijitegemee
Utumishi Ijitegemee
USSR