Mapungufu ya hoja ya mifumo kusomana je, taifa gani mifumo haisomani

Maelezo yako ya kijinga usiyalete kwenye jukwaa la watu wenye fikra pevu hapa,

Ufunuzi wa siri hiyo umeshitua watu kwa sababu mifumo tajwa imeunganishwa na chama cha siasa kimoja ambacho badala kusimama katika makusudi yaliyokusudiwa badala yake unatumika vibaya kujitengenezea matokeo ya uchaguzi kwa viongozi wa kisiasa ambao maamuzi yao huleta athari kwa Watanzania.

Tumia akili unapokuwa unajibu hoja iliyozama kwenye mzizi mkuu unaotumika kufanikisha uovu.

Kwanini vyama vingine vya kisiasa havijaunganishwa na mfumo huo kwenye taasisi hizo ili kwa pamoja wafuatilie nwebebdo wa matumizi na kuhoji wanapobaini yaenda ndivyo isivyo?
 
Sasa wewe unatuambia nini wakati wenye mifumo wamesema hicho alichosema Polepole aliyeshiriki kusanifu hiyo mifumo,wamesema hakipo na haiwezekani!! Wewe unaiwakilisha taasisi ipi Sasa!!
 
Mkuu ni ama hujamuelewa kabisa HP au umeuelewa vizuri ila unaamua kumislead watu makusudi.

Hata hivyo Mkuu, HP amesomeka bara'bara!!!
 
πŸ™‹βœοΈπŸŽ―πŸ‘πŸ‘πŸ€πŸ™
 
Sasa wewe unatuambia nini wakati wenye mifumo wamesema hicho alichosema Polepole aliyeshiriki kusanifu hiyo mifumo,wamesema hakipo na haiwezekani!! Wewe unaiwakilisha taasisi ipi Sasa!!
🀣 🀣 🀣 πŸ”Š
 
 
 
Wenzio wanakanusha kwamba haisomani wewe unasema litakuwa taifa la ajabu. Wewe na kailima nani ajua zaidi mifumo ya tume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…