Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,017
Kijana, kama vitu ambavyo vipo wazi kwenye Biblia huvielewi, unafikiri utaweza jadiliana nami kuhusu Yesu. Nenda kasoma Biblia ambayo haipo Kiarabu. Ukisha maliza kusoma angalu Gospel yake, njoo tujadiliane hapa.personal accountant alikuwa nani?ingekuwa vipi MPESA na Tigopesa zingekuwa kipindi kile,yuda msaliti angetumiwa pesa za kumsaliti kwenye simu yake,na yesu angekuwa anatumia simu gani.na ngekuwa anaendesaha gari gani
Yesu Kristo ni Mungu Mkuu