Kijana, kama vitu ambavyo vipo wazi kwenye Biblia huvielewi, unafikiri utaweza jadiliana nami kuhusu Yesu. Nenda kasoma Biblia ambayo haipo Kiarabu. Ukisha maliza kusoma angalu Gospel yake, njoo tujadiliane hapa.personal accountant alikuwa nani?ingekuwa vipi MPESA na Tigopesa zingekuwa kipindi kile,yuda msaliti angetumiwa pesa za kumsaliti kwenye simu yake,na yesu angekuwa anatumia simu gani.na ngekuwa anaendesaha gari gani
makuhani kwa kutokumwadhibu Yesu kwa kuponya watu siku ya sabato walikuwa wanavyunja amri za kiyahudi, achilia mbali Yesu kuitwa kristo.sioni kama kuna tatizo kati ya unachosema kuhusu utawala wa rumi vs uyahudi na point nilizo raise, mimi nimezungumzia jinsi kuhani mkuu na senhedrin "balaza la makuhani" walivyo vunja sharia za kiyaudi katika kuendesha mashtaka ya yesu. kumbuka dola ya rumi hawauwa na interest na yesu kabisa. Wala Pontius Pilate hakumfahamu yesu kabla.
Kuhusu, Josephus, katika vitabu vyake (mkusanyiko wa maandiko yake) na pia ushahidi mbalimbali unathibitisha kuwa aliishi wakati wa yesu, na wakati pilato akiwa gavana wa Judea. Nakulete proof ya hili
Who is lawyer among of you
It is a lie.
Jesus was not poor. He had 12 people working for Him. Nonetheless, He had a personal accountant. You don't have that.
Can a poor man be able to employ 12 people who were business men and an accountant?
His Father's business. Luke 2: 49 And He said unto them, How is it that ye sought me? wist ye not that I must be about my Father's business?Jesus had employed 12 businessmen and had a personal accountant? What was Jesus's business?
His Father's business. Luke 2: 49 And He said unto them, How is it that ye sought me? wist ye not that I must be about my Father's business?
Hakuna sheria hapo mmekosa kazi nyie.
Mnashindwa kumshtaki Muhammad ambae amevunja sheria nyingi na Ame abuse haki za watoto mnakimbilia kwa Yesu Kristo. Mnaakili kweli?
Kitu kingine ulichosahau ni kuwa Yesu alikuwa maskini hivyo hakuweza ku-afford a good lawyer, kama ambavyo inatokea kwenye jamii zetu mpaka leo.
Jesus is God. That is why the pharisees said He blasphemy when He compared Himself to God.
Do you know the meaning of "incarnation of Christ"?Hili neno inabidi ukubali bila ya kutumia akili,ukishirikisha akili kidogo tu basi utagundua Yesu ni binadamu.
Sent from my SM-G800H using Tapatalk
What do you think I will use when I am talking about Jesus? Hereunder is another impeccable exhibit.That is ridiculous! You've based your claim on that verse? Let's read from Luke 2:48 and expose your lame lie. Luke 2:48-49 reads as follows;
[SUP]48 [/SUP]So when they saw Him, they were amazed; and His mother said to Him, "Son, why have You done this to us? Look, Your father and I have sought You anxiously."
[SUP]49 [/SUP]And He said to them, "Why did you seek Me? Did you not know that I must be about My Father's business?"
Joseph and Mary took Jesus to Jerusalem, on their way back home they lost him so they had to go back looking for him and they found him in the synagogue that's when Mary said what is written on Luke 2:48 and Jesus response was on Luke 2:49. The father Jesus was referring to was God, not Joseph and the business he was referring to was not making money as you want to mislead us but Jesus was talking about doing God's work.
sioni kama kuna tatizo kati ya unachosema kuhusu utawala wa rumi vs uyahudi na point nilizo raise, mimi nimezungumzia jinsi kuhani mkuu na senhedrin "balaza la makuhani" walivyo vunja sharia za kiyaudi katika kuendesha mashtaka ya yesu. kumbuka dola ya rumi hawauwa na interest na yesu kabisa. Wala Pontius Pilate hakumfahamu yesu kabla.
Kuhusu, Josephus, katika vitabu vyake (mkusanyiko wa maandiko yake) na pia ushahidi mbalimbali unathibitisha kuwa aliishi wakati wa yesu, na wakati pilato akiwa gavana wa Judea. Nakulete proof ya hili
What do you think I will use when I am talking about Jesus? Hereunder is another impeccable exhibit.
Now that really is amazing, isn't it? Here is Jesus at age 12, involved in a theologically-rich "Q&A Session" with the Jewish teachers at the temple. Luke writes in verse 47 that "all who heard Him were astonished." This includes Mary and Joseph, verse 48:
Luke 2: 48 So when they saw Him, they were amazed (it's like they don't know what to say); and His mother said to Him, "Son, why have You done this to us? Look, Your father and I have sought You anxiously."
49 And He said to them, "Why did you seek Me? Did you not know that I must be about My Father's business?"
Sasa si mnasema jesus is God.Kitu kingine ulichosahau ni kuwa Yesu alikuwa maskini hivyo hakuweza ku-afford a good lawyer, kama ambavyo inatokea kwenye jamii zetu mpaka leo.