Mapungufu ya kisheria katika Kesi ya Yesu (kwa mujibu wa sheria ya wayahudi)

Poor soul like this one deserve what? except spunk his ripen cheeks
 
It seems the issue of your gender is giving you headache. Young girl, did you take your morning pills? Do you need help understanding one of these words or something?

Please let me know. I will set you up with a link to a free online dictionary.

You're the one in need of a pill, first you go off topic from what was the discussion then you call me a girl and you don't even know me. You are just babbling, major sign for mental illness.
 
You're the one in need of a pill, first you go off topic from what was the discussion then you call me a girl and you don't even know me. You are just babbling, major sign for mental illness.
You just missed another morning pills!!!! Now, you offer meaningless pictures to obfuscate your defeat on the intellectual merits.
 
Mambo ambayo naona alichangia Yesu kujiingiza kwenye hukumu (Incite)

Allingia kwa nyimbo na kelele kuu Yerusalem mji ukataharuki
Hakumiminiwa mafuta ya kikuhani je iweje atangazwe kuwa Masihi
Alimwaga vitu vya walipa kodi hekaluni
Alitishia kuvunja hekalu
alilisha watu mwili wake
alisababisha uzembe watu hawakuzalisha muda mwingi wanamfuata
 
Hakuna sheria hapo mmekosa kazi nyie.
Mnashindwa kumshtaki Muhammad ambae amevunja sheria nyingi na Ame abuse haki za watoto mnakimbilia kwa Yesu Kristo. Mnaakili kweli?

Povu linamtoka.
 
Mambo ya udini yalisababisha nikamkosa chaguo langu SALHA! Nataman sana TZ iwe na dini moja tu ya UTANZANIA au ya UAFRICA!
 

YESU KRISTO ni Mungu Mkuu
 
Bogus reply
 
Kijana, kama vitu ambavyo vipo wazi kwenye Biblia huvielewi, unafikiri utaweza jadiliana nami kuhusu Yesu. Nenda kasoma Biblia ambayo haipo Kiarabu. Ukisha maliza kusoma angalu Gospel yake, njoo tujadiliane hapa.

Yesu Kristo ni Mungu Mkuu
Kwahiyo Mungu alitundikwa msalabani? Kuweni serious muda mwingine
Na muda yupo kaburini nani alikuwa anaendesha dunia
 
It is a lie.

Jesus was not poor. He had 12 people working for Him. Nonetheless, He had a personal accountant. You don't have that.

Can a poor man be able to employ 12 people who were business men and an accountant?

Then why didn't he afford a lawyer to represent him in his trial?
 
...kwan yesu si alikuwa lazima afe ili andiko litimie....sasa nan angewaokoa watu na dhamb zao.....

Yaani mungu muweza wa yote akubali kufa tu ili awaokoe wanadamu? Acheni utani jamani. After all kweli mungu anaweza kufa?
 
imeniweka sawa
 
It is a lie.

Jesus was not poor. He had 12 people working for Him. Nonetheless, He had a personal accountant. You don't have that.

Can a poor man be able to employ 12 people who were business men and an accountant?

Can you prove this??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…