Mapungufu ya kisheria katika Kesi ya Yesu (kwa mujibu wa sheria ya wayahudi)

Mapungufu ya kisheria katika Kesi ya Yesu (kwa mujibu wa sheria ya wayahudi)

Nilipo highlights Mbona kuna biblia nyengine zinasema kwamba hilo la Trinity limepachikwa na hamna hayo maneno kwenye biblia nyengine unaweza kuthibitisha vipi maneno hayo wakati kuna contradictions between bibles
Following are other words that the Bible does not use, but the concepts are mentioned:

  • Atheism is the teaching that there is no God. "The fool has said in his heart, 'There is no God'" (Psalm 14:1).(see atheism)
  • Divinity which means divine quality or godlike character. Yet, we speak of the godlike quality of the Lord God. See Psalm 139.
  • Incarnation which means the word (God) who became flesh. Yet, this is definitely taught in the Bible (John 1:1, 14).
  • Monotheism is the teaching that there is only one God (Isaiah 43:10; 44:8).
  • Rapture is the teaching that the Christians who are alive when Jesus returns will be caught up to meet Him in the air (1 Thess. 4:16-18).
So, to say that the Trinity isn't true because the word isn't in the Bible is an invalid argument. Furthermore, to say that--if God wanted us to believe in the Trinity He would have clearly taught it in scripture--is also an invalid argument. Something does not have to be clearly formulated in the Bible to be valid. Not all things taught in the Bible are perfectly clear. Take a look at the book of Revelation. It contains many things that are cryptic that must be interpreted after examining all of the Bible. Even then, there are disagreements as to what some things mean. Yet, we know that the truths there are true whether or not we discover them.
Nevertheless, there are scriptures that demonstrate a Trinitarian aspect.

  • Matt. 28:19, Go therefore and make disciples of all the nations, baptizing them in the name of the Father and of the Son and of the Holy Spirit,
  • 2 Cor. 13:14, The grace of the Lord Jesus Christ, and the love of God, and the fellowship of the Holy Spirit, be with you all.
  • Eph. 4:4-7, There is one body and one Spirit, just as also you were called in one hope of your calling; 5 one Lord, one faith, one baptism, 6 one God and Father of all who is over all and through all and in all. 7 But to each one of us grace was given according to the measure of Christ's gift.
  • Jude 20-21, "But you, beloved, building yourselves up on your most holy faith; praying in the Holy Spirit; 21 keep yourselves in the love of God, waiting anxiously for the mercy of our Lord Jesus Christ to eternal life."
 
Kijana Mbona unajichanganya jee yesu ni mungu ama mwana wa mungu na hapo panathibitisha kwamba yesu ni mtume aliyetumwa kwa wana wa Israel maelezo yako yote yanaonesha kwamba mungu anajitegemea hana mwana wala msaidizi.Tafuta dini iliyo ya kweli usije sema hatukukwambia.
Just like saying. Because Allah said he is Al Malik, then allah is just a king. Your argument is lame. Why applaud another avoidance maneuver? None of you can address the argument.
 
Duh Mashakil kweli kweli,

Sasa ww Gabriel alikua ni mpelekaji ujumbe lazima awepo na si kwa muhammad tu alishuka bali alishuka kwa mitume wengi na waja wema pia na hao utakataa ujumbe wao ww vipi hujajibu swali langu unakimbia kimbia kama huwezi sema siwezi kujibu huo mzig mzito kwangu instead ya ww kupenya penya aya iko wazi kabisa
Hujajibu swali. Kwanini Muhammad adai kuwa katumwa na Allah ambaye hakuwa onngea nae? Mbona mitume wote wa Biblia waliongea na Mungu?

Hayo maneno ni ya Jibril hakuna hata sehemu moja Gabriel ana claim kama yy ni mungu hamna si katika bibli wala quraan
Kwahiyo unakubaliana nami kuwa Quran ni maneno ya Jibril na sio Allah. Very good young man.

Muhammad hakuwahi kuongea na Allah sasa hii ndo sababu ya kukataa utume wa kipenzi chetu au maneno ya Allah
Sasa alitumwaje na Allah ambaye hakuwa ongea nae?
"Verily, I am Allah: There is no god but I: kusoma ama kuona ama kusikia husikii kipi kati ya hicho passage iko wazi kabisa I AM ALLAH:HAKUNA MOLA MWENGINE ISIPOKUA MIMI
Allah kesha sema kuwa HAKUNA MUNGU

Ukiisoma hiyo Revelation 21:7 inaonesha wazi kwamba mungu ni mmoja na ana wana ila yesu si mungu wala si mtoto pekee wamungu kwa ushahidi wa biblia kutoka kwa yesu ukiisoma Yohana 20:17 inasema "Yesu akamwambia usinishike kwa maana sijapaa kwenda kwa baba lakini nenda kwa ndugu zangu ukawaambie napaa kwenda kwa baba yangu naye ni baba yenu kwa mungu wangu nae ni mungu wenu: vipi tena yesu anakuwa mungu wakati anasema baba yangu ndo baba yenu na mungu wangu ndo mungu wenu weka hoja zako vizuri halafu rudi tena.
Ukimbia madai yako. Wewe si ulitaka Maneno ya Yesu akisema mimi ni Mungu/ I gave you sasa refute klwa kutumia aya.

Na ukiisoma Yohana 17:1-3 inasema "Na uzima wa milele ndio huu wakujue ww mungu wa pekee na yesu christo uliyemtuma" na anayetumwa na mungu anakuwa mtume ama mungu.
Sasa wapi katika hiyo aya Yesu kakataa uungu? Do you believe that Allah is Al Malik? Does it mean that your deity is not God.
Your argument is lame and slippery slope.

Maneno hayo yanathibitishwa na quraan pia ambapo Allah anasema katika sura ya 112 Al-Ikhlas

1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.

3. Hakuzaa wala hakuzaliwa

4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.

Kijana njoo na hoja nikiona umekuja na pumba tena saivi itanibidi nikuache upite tuu maana quraan inasema hakuna kulazimishana katika dini na ukija na hoja ukijibu hoja zangu na swali langu basi tutaenda vizuri tuu Insha Allah
.
Ni nani anaye ambiwa aseme hayo maneno?
 
Nambokola Mungu wangu ni Mungu Muumbaji, mwanzo na mwisho na kwa mujibu wa Biblia, tunayo majina mengi ambayo yote yanabeba sifa zake. Nikukumbushe tu kuwa Mungu si kama mwanadamu mwenye nafsi moja na roho moja. Mungu ninayemuabudu ana nafsi zaidi ya moja na ana roho zaidi ya moja ndo maana ana uwezo wa kuwa mahali popote na kwa wakati mmoja. Niambie ni mwanadamu yupi ambaye aliwahi kuzaliwa bila muunganiko wa mwanaume na mwanamke? Hii tu inatosha kukuthibitishia kuwa YESU hakuwa mwanadamu wa kawaida kama ambavyounaweza kuwa unafikiria.

Mkuu nikuulize swali kabla ya kujibu swali lako kabla sijakujibu japo nitapitia baadhi ya point zako ndo swali langu lijengeke huko nilipoweka red ndo point yangu iko hapo jee yesu ni mungu kwasababu alizaliwa bila ya muingiliano wa baba na mama jee nikikuthibitia kwenye bible na wengine wamezaliwa bila ya baba jee yesu atakua si mungu tena nijibu hapo tuendelee

Halafu la pili Tunayo majina mengi ambayo yanabeba sifa zake lakini me nilikuuliza ama nilitaka jina moja tuu ama sifa moja ambayo mnatumia kumwita mungu wenu ndoswali langu lilipokua mfano kama ukiwa hutaki kutumia jina la Allah unaweza tumia sifa nyengine kama ARRAHMAN, ARRAZAQ na ASSWAMAD ukitaka niyatafsiri hayo nitafanya hiyo insha Allah lakini nikupe mfano kutoka kwenye biblia ili kukusaidia kwasababu nimependa utulivu wako lakini hii aya sitoitafsiri nitakuachia ili ukukuruke nayo [FONT=Arial,Helvetica][SIZE=-1]"Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA, nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi bali kwako jina langu YEHOVA sikujulikana kwao". (Kutoka 6:2-3)[/SIZE][/FONT] Jee Yehova ndo jina la mungu wenu ila jibu lolote utakalokuja nalo basi ujuwe nitakutafuta tuu
 
My point exactly!

You avoided my argument. Why does your chemical illusion constitute a moral duty upon another chemical animal who has a different illusion of raping children as 'good' for him?
 
Hujajibu swali. Kwanini Muhammad adai kuwa katumwa na Allah ambaye hakuwa onngea nae? Mbona mitume wote wa Biblia waliongea na Mungu?

Kwahiyo unakubaliana nami kuwa Quran ni maneno ya Jibril na sio Allah. Very good young man.
Yangekuwa maneno ya Jibril si angesema mimi Jibril na kwambia hivi na vile lakini ametumwa ndo na alikua mwaminifu kabisa

Sasa alitumwaje na Allah ambaye hakuwa ongea nae?
kwasababu mjumbe alikuwepo tayari hakuna haja ya Allah kujidhihirisha

Allah kesha sema kuwa HAKUNA MUNGU
YES,hakuna mungu apasae kuabiduwa kwa ila Allah

Ukimbia madai yako. Wewe si ulitaka Maneno ya Yesu akisema mimi ni Mungu/ I gave you sasa refute klwa kutumia aya.
Wapi me sijaiona na ukweli kwamba ww husomi maandiko husomi unarukia tuu maneno nimekupa maandiko ili kuthibitisha kwamba aya yako ama ww unajicontradict .......Ukiisoma hiyo Revelation 21:7 inaonesha wazi kwamba mungu ni mmoja na ana wana ila yesu si mungu wala si mtoto pekee wamungu kwa ushahidi wa biblia kutoka kwa yesu ukiisoma Yohana 20:17 inasema "Yesu akamwambia usinishike kwa maana sijapaa kwenda kwa baba lakini nenda kwa ndugu zangu ukawaambie napaa kwenda kwa baba yangu naye ni baba yenu kwa mungu wangu nae ni mungu wenu: vipi tena yesu anakuwa mungu wakati anasema baba yangu ndo baba yenu na mungu wangu ndo mungu wenu weka hoja zako vizuri halafu rudi tena

Sasa wapi katika hiyo aya Yesu kakataa uungu? Do you believe that Allah is Al Malik? Does it mean that your deity is not God.
Na yesu akisema MUNGU WA PEKEE UJUWE HAKUNA MWENGINE HAPO USIJITIE UPOFU hebu itafsiri hiyo aya please.
ofcourse I believe Allah is Al Malik al Mulk:The One who is sole owner, possessor and ruler of all kingdoms. The One whose ruling power and authority have no limit. kwasababu sisi hatushirikishi mungu na mtu mwengine yyte ndo maana tunakua hakuna tabu kwetu ila nyinyi Mungu ndo mwana na mwana ndo mungu lugha gani hiyo gibberish.

.
Ni nani anaye ambiwa aseme hayo maneno?
Mtume Muhammad swallallahu alayhi wasallam
 
You avoided my argument. Why does your chemical illusion constitute a moral duty upon another chemical animal who has a different illusion of raping children as 'good' for him?

Unazungumzia mapapa yale yanobaka watoto wa kiume ama make it clear
 
Just like saying. Because Allah said he is Al Malik, then allah is just a king. Your argument is lame. Why applaud another avoidance maneuver? None of you can address the argument.

Nimeshajibu nini maana ya al malik na ukitaka niweke root yake linapatikana vipi na jee yesu alipotumia kwenye biblia kwamba yy ni king jee alikua ni king tuu ama huna point ukweli ushauona ila ukiyofundishwa ama hela hutaki kuziacha
 
kwa ujumla ni kwamba kulikuwa kuna uvunjaji mkubwa sana wa haki za binadamu katika kesi ya yesu, katika kila hatua yan mashitaka ya yesu taratibu za mashitaka zilivunjwa kwa mfano
1 kukamatwa kwake John 18: 19-24 hapa kulikuwa na uvunjifu wa taratibu za kisheria kwa wakati anachukuliwa maelezo na kuhani ilionyesha waziwazi kuwa tayari alikuwa kama ameshahukumiwa tayari, pia alipigwa kukubali makosa yaliyokuwa yanamkabili kwa kuhani,lakini alipoomba kuita mashahidi hakupewa nafasi.
2

hangepewa nafasi ya kujitetea wakati alikiri kosa alipoulizwa ,
"wewe ni mfalume wa wayahudi?.
akajibu,"wewe wasema"au kwa lugha ingine alikubali,kosa alilokamatiwa mojawapo ilikuwa ni kujiita yeye ndo king wa wayahudi,kitu ambacho kilikua sawa na uhaini,sasa ajitete vipi wakati alikiri mwenyewe?
 
Matthew claims Jesus was arrested because he claimed he was divine. That is fiction. Jesus had no delusions he was God, nor would he have had any supporters amongst the Jews if he had made such a blasphemous claim. The Sadducees and Romans wouldn’t have lost any sleep over a Galilean peasant’s delusions of grandeur. They arrested him because he was trying to start an insurrection, which was against Roman law. The High Priest, the Sanhedrin and the Pharisees knew that, Pilate and his army knew it too and so did Jesus and his supporters.
He is taken before Pilot and the accusation made
“We found this fellow perverting the nation, and forbidding to pay taxes to Caesar, saying that he himself is Christ, a King.” (Luke 23;2). Pilate asked Jesus if he is king of the Jews and Jesus answers
“it is as you say it.” (Luke 23;3). This perfectly described the whole crux of the issue; Jesus was accused of undermining the government and the taxation system and proclaiming himself a king. He effectively signed his own death warrant by admitting he thought he was king of the Jews.
Then, inexplicably, in all the gospels, Pilate said
“I find no fault in this man”. (Luke 23;4). This was fiction. The Gospel authors were spinning a good yarn to make the Romans sound blameles
 
Pilate was Rome’s representative. It was his job to keep law and order and make sure the Jews paid tax. He did not find Jesus innocent.
Luke was the only author who had Jesus appear before Herod, who happened to be in Jerusalem at the time. He claimed Jesus refused to talk to Herod when he was given a chance to defend himself. Jesus would have regarded Herod, the man who had his cousin killed, with contempt. Why should the real Jewish king justify himself to a false Jewish king? Herod allegedly also found no guilt in Jesus, which is impossible to believe, as the gospels had earlier claimed Herod wanted to kill him.
Then the Jewish populace allegedly turned en masse against Jesus. Mark claimed
“...the chief priests however had incited the crowd...” (Mark 15:11 NJB). This poorly explained excuse was the only reason given for “the crowd” turning against Jesus. They allegedly shouted they wanted Jesus crucified and would rather have Barabbas, a common criminal, freed in preference to Jesus. No such release or custom of such a release was recorded in any non-Biblical historical documen
 
Who was this Jewish crowd? Were they not the very “multitudes” that had welcomed their king as a hero in a ticker tape parade as he rode into Jerusalem on a donkey? This crowd had thought he was a prophet and laid clothes and branches at his feet. This same crowd was the one the chief priests feared would create “an uproar” if Jesus was killed. Why would they suddenly have a complete change of mind about their hero? They didn’t.
The gospel authors created history. They could not have Romans responsible for Jesus’ murder, so they blamed the anonymous rabble of Jews. Romans are made to look almost as if they were innocent bystanders during the trial. Pilate’s wife wrote him a letter about a dream she had that Jesus was innocent. Pilate tried to talk the angry Jews out of having him crucified but gave in to the public clamour, because
“ in fact a riot was imminent” (Matthew 27;24). The crowd that was going to riot if Jesus was arrested was now about to riot if he wasn’t crucified! I don’t believe the crowd was that fickle.
Pilot, representing Rome, allegedly washed his hands of any responsibility for the decision to kill Jesus. This was theatrical propaganda, not real history. To pronounce a man innocent, then decide to kill him is not believable.
The real Pilate was notorious for his cruelty towards the Jews. Philo, writing in 41 CE wrote that Pilate's tenure was associated with
".
 
briberies, insults, robberies, outrages, wanton injustices, constantly repeated executions without trial, and ceaseless and grievous cruelty." (Legatio ad Gaium, 301-302). Josephus too reported several occurrences when Pilate flagrantly incited insurrection in order to ruthlessly purge it with his soldiers.
In 36 CE, Vitellius, the Roman Syrian governor removed him from his office, after a particularly violent attack on the Samaritans (Josephus, Antiquities 18.4.85). He was ordered to Rome to face complaints of excessive cruelty against the Jews, found guilty and exiled in Vienne, France. Pilate¡¯s true colours are to be found in secular history, not in the gospels. He quite clearly was not a man who would have been wracked with indecision about whether to crucify Jesus.
One of the gentile authors of Matthew had the Jews say;
"His blood be on us and our children." (Matthew 27:24¨C25 NJB). Jews openly cursed themselves for being Christ killers. This didn¡¯t happen! There was no Jewish crowd present at Jesus¡¯ trial if, in fact, he even had a trial. The overwhelming majority of Jews would have been appalled that Jesus, the man they hoped would be their messiah, was crucified.
 
Following are other words that the Bible does not use, but the concepts are mentioned:

  • Atheism is the teaching that there is no God. "The fool has said in his heart, 'There is no God'" (Psalm 14:1).(see atheism)
  • Divinity which means divine quality or godlike character. Yet, we speak of the godlike quality of the Lord God. See Psalm 139.
  • Incarnation which means the word (God) who became flesh. Yet, this is definitely taught in the Bible (John 1:1, 14).
  • Monotheism is the teaching that there is only one God (Isaiah 43:10; 44:8).
  • Rapture is the teaching that the Christians who are alive when Jesus returns will be caught up to meet Him in the air (1 Thess. 4:16-18).
So, to say that the Trinity isn't true because the word isn't in the Bible is an invalid argument. Furthermore, to say that--if God wanted us to believe in the Trinity He would have clearly taught it in scripture--is also an invalid argument. Something does not have to be clearly formulated in the Bible to be valid. Not all things taught in the Bible are perfectly clear. Take a look at the book of Revelation. It contains many things that are cryptic that must be interpreted after examining all of the Bible. Even then, there are disagreements as to what some things mean. Yet, we know that the truths there are true whether or not we discover them.
Nevertheless, there are scriptures that demonstrate a Trinitarian aspect.

  • Matt. 28:19, Go therefore and make disciples of all the nations, baptizing them in the name of the Father and of the Son and of the Holy Spirit,
  • 2 Cor. 13:14, The grace of the Lord Jesus Christ, and the love of God, and the fellowship of the Holy Spirit, be with you all.
  • Eph. 4:4-7, There is one body and one Spirit, just as also you were called in one hope of your calling; 5 one Lord, one faith, one baptism, 6 one God and Father of all who is over all and through all and in all. 7 But to each one of us grace was given according to the measure of Christ’s gift.
  • Jude 20-21, "But you, beloved, building yourselves up on your most holy faith; praying in the Holy Spirit; 21 keep yourselves in the love of God, waiting anxiously for the mercy of our Lord Jesus Christ to eternal life."

Na hata christinity halipo kwenye bible ila bado linatumika na hakuna anaeuliza.
Na trinity haipo ila bado inatumika kama ni nguzo moja ya ukristo

Utajaibu kulazimisha ila The trinity is not Biblical.The word Trinity is not even in the Bible or Bible dictionaries, was never taught by jesus and never mentioned by him.There is no basis or proof in the Bible whatsoever for the acceptance of the Trinity.

You mentioned Matthew 28:19 if you mention three persons are sitting or eating together does it mean that they are forming one person. it seems that your pastor told you about Trinity but never gave you a proper histrory of it. Allow me to tell you in brief,

History of Trinity

The formulation of the trinity by Athanasius, an Egyptian deacon from Alexandria,was accepted by the council of Nicaea in A.D 325 (More than three century after Jesus had left).
No doubt that Roman paganism had influence in this doctrine,the triune god;Sabbath was shifted to sunday;December 25 which was the birthday of their sun-god Mithra,was introduce as Jesus Birthday,althought the Bible predicted and forbade the decoration of xmass in jeremiah 10:2-5.

Ukitaka niendelee naweza kuikuza lakini Trinity sio mpango wa mungu ila influence ya kipagani na ndo maana nikakwambia bible imeingizwa na si maneno ya mungu yaani kwa maana nyengine mumenajiss.

How can you say we are wise and the law of the lord is with us but behold,the false pen of the scribes has made it into a lie Jeremiah 8:8 and (matthew 15:8)

Aya zote ulizotoa hazioneshi kwamba kuna trinity kwenye bible halafu kuwa watatu it doesnt mean there is a trinity ila ni man made lakini swali kwanini si wakristo wote wanaoamini trinity
 
Matthew claims Jesus was arrested because he claimed he was divine. That is fiction. Jesus had no delusions he was God, nor would he have had any supporters amongst the Jews if he had made such a blasphemous claim. The Sadducees and Romans wouldn't have lost any sleep over a Galilean peasant's delusions of grandeur. They arrested him because he was trying to start an insurrection, which was against Roman law. The High Priest, the Sanhedrin and the Pharisees knew that, Pilate and his army knew it too and so did Jesus and his supporters.
He is taken before Pilot and the accusation made
"We found this fellow perverting the nation, and forbidding to pay taxes to Caesar, saying that he himself is Christ, a King." (Luke 23;2). Pilate asked Jesus if he is king of the Jews and Jesus answers
"it is as you say it." (Luke 23;3). This perfectly described the whole crux of the issue; Jesus was accused of undermining the government and the taxation system and proclaiming himself a king. He effectively signed his own death warrant by admitting he thought he was king of the Jews.
Then, inexplicably, in all the gospels, Pilate said
"I find no fault in this man". (Luke 23;4). This was fiction. The Gospel authors were spinning a good yarn to make the Romans sound blameles

Mkuu Elungata, naona unajaribu kujenga hoja kutokana na mapokeo na si ushahidi wa kihistoria.Naomba ufahamu yafuatayo.

  1. KamaPilato alikuwa ndo central figure katika kumkamata YESU, pia kama ni romana uthority ndo ilikuwa offended na wakaamua kumtafuta yesu JE, kwa nini Askariwa ROMA ambao walikuwa ndo wenye nguvu na watawala hawakwenda kumkamata YESU na badala yake alikamatwa na TEMPLE GUARDS (askali wa hekalu wa kiyahudi, walio chini ya kuhani mkuu)
  2. Je unajua kuwa hata order ya kukamatwa Yesu haikutolewa na Roman authority bali ilitoka kwa Joseph Caiaphas, kuhani mkuu. Kama utawala wa roma ulikuwa offended na YESU kwa nini order ya kukamatwa itoke kwa kuhani mkuu.
  3. Je unajua kuwa PILATO hakuwahi kumfahamu yesu kablaya YESU kupelekwa kwake na kuhani mkuu. Kwa taarifa yako Pilato alikuwa hakai Jerusalem bali makao makuu na makazi yake yalikuwa Caesaria, mji uliokuwa pwani ya mashariki. Na alikuja Jerusalem kwa sababu ya sherehe za pasaka tuu huku akiambatana na mkewe. Pilato hakuwahi kujua habari za yesu,kama ilivyokuwa kwa baadhi ya watu wa jerusal;em, wakiwemo walinzi walioenda kumkamata ambao ili kutambua wamkamate nani ilibidi wapate msaada wa YUDA(alipombusu yesu). Je kwa nini Pilato awe interested na mtu asiyemjua.
CC[MENTION]Ishmael[/MENTION]

Mkuu nikuulize swali kabla ya kujibu swali lako kabla sijakujibu japo nitapitia baadhi ya point zako ndo swali langu lijengeke huko nilipoweka red ndo point yangu iko hapo jee yesu ni mungu kwasababu alizaliwa bila ya muingiliano wa baba na mama jee nikikuthibitia kwenye bible na wengine wamezaliwa bila ya baba jee yesu atakua si mungu tena nijibu hapo tuendelee

Halafu la pili Tunayo majina mengi ambayo yanabeba sifa zake lakini me nilikuuliza ama nilitaka jina moja tuu ama sifa moja ambayo mnatumia kumwita mungu wenu ndoswali langu lilipokua mfano kama ukiwa hutaki kutumia jina la Allah unaweza tumia sifa nyengine kama ARRAHMAN, ARRAZAQ na ASSWAMAD ukitaka niyatafsiri hayo nitafanya hiyo insha Allah lakini nikupe mfano kutoka kwenye biblia ili kukusaidia kwasababu nimependa utulivu wako lakini hii aya sitoitafsiri nitakuachia ili ukukuruke nayo [SIZE=-1]"Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA, nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi bali kwako jina langu YEHOVA sikujulikana kwao". (Kutoka 6:2-3)[/SIZE] Jee Yehova ndo jina la mungu wenu ila jibu lolote utakalokuja nalo basi ujuwe nitakutafuta tuu

Yesu kuzaliwa bila muunganiko wa mwanaume na mwanamke siyo kithibitisho pekee kuwa alikuwa na uungu ndani yake, ukiacha kuzaliwa kuna yale aliyoyafanya yaani miujiza ya uponyaji na wokovu wa wanadamu, kuna kifo chake kilivyokuwa na kufufuka kwake na pia kupaa kwake kurudi Mbinguni.

Mungu aliyeumba mbingu na nchi ni mmoja, ni Jehovah nissi, Jehova jireh, Jehova rapha n.k
 
Na hata christinity halipo kwenye bible ila bado linatumika na hakuna anaeuliza.
Na trinity haipo ila bado inatumika kama ni nguzo moja ya ukristo

Utajaibu kulazimisha ila The trinity is not Biblical.The word Trinity is not even in the Bible or Bible dictionaries, was never taught by jesus and never mentioned by him.There is no basis or proof in the Bible whatsoever for the acceptance of the Trinity.

You mentioned Matthew 28:19 if you mention three persons are sitting or eating together does it mean that they are forming one person. it seems that your pastor told you about Trinity but never gave you a proper histrory of it. Allow me to tell you in brief,

History of Trinity

The formulation of the trinity by Athanasius, an Egyptian deacon from Alexandria,was accepted by the council of Nicaea in A.D 325 (More than three century after Jesus had left).
No doubt that Roman paganism had influence in this doctrine,the triune god;Sabbath was shifted to sunday;December 25 which was the birthday of their sun-god Mithra,was introduce as Jesus Birthday,althought the Bible predicted and forbade the decoration of xmass in jeremiah 10:2-5.

Ukitaka niendelee naweza kuikuza lakini Trinity sio mpango wa mungu ila influence ya kipagani na ndo maana nikakwambia bible imeingizwa na si maneno ya mungu yaani kwa maana nyengine mumenajiss.

How can you say we are wise and the law of the lord is with us but behold,the false pen of the scribes has made it into a lie Jeremiah 8:8 and (matthew 15:8)

Aya zote ulizotoa hazioneshi kwamba kuna trinity kwenye bible halafu kuwa watatu it doesnt mean there is a trinity ila ni man made lakini swali kwanini si wakristo wote wanaoamini trinity
So, what is your argument here?
 
Back
Top Bottom