Mapungufu yangu naona ndio sababu

Usiwe sooo much good, ukiwa hivyo unakua unaboa na unakua sio mtamu...."bad boys are so sweet and addictive" you know wora m saying?
 
Usiwe sooo much good, ukiwa hivyo unakua unaboa na unakua sio mtamu...."bad boys are so sweet and addictive" you know wora m saying???
Kuna uzi huko watu wanakutafuta Evelyn Salt

Turudi kwenye mada: ni vile tu mademu wa Kiafrika wana kautamaduni kakuogopa kufunguka ya moyoni wanapokuwa na wenza wao kwamba nini kinawaturn on

Wanatupenda sana mabad boys mambo tunayowafanyia wanajihisi dunia yote yao
 
Na hii ni mbaya sana unakua kwenye uhusiano halafu hauko huru kuelezea hisia zako....sasa we ni mpenzi au mpenzi mtazamaji?

Bad boys ni watamu ni vile tu wivu unakua unatutawala
 
Mkuu uko mkoa gani kwa sasa?
 
Na hii ni mbaya sana unakua kwenye uhusiano halafu hauko huru kuelezea hisia zako....sasa we ni mpenzi au mpenzi mtazamaji?

Bad boys ni watamu ni vile tu wivu unakua unatutawala
Ndio maana watu wanahangaika na sijui mkongo mara viagra mara sijui siridhishwi mara hanifikishi kileleni kumbe kuna mahala ukimkuna vizuri anaridhika ila ndo hamsemi.

Kuna demu alinifungukiaga mahali panapomturn on hakunionea aibu daaah huwa anaridhika sana

Mpaka kesho najilia vyangu
 
Nahitaji seriously relationship now nashindwa kupata seriously relationship
Wengi tu hatupendi kufoka ila tumia namna yako hiyo hiyo ya upole kung'ata na kupuliza, hakikisha unapoongea inaingia moyoni kwake na kuumiza vibaya sana kama mtu aliyepigwa kofi zito. Acha kujiweka kinyonge na kuomba omba msamaha.

Mmiliki mwanamke sio unamuonea aibu na uoga hapo lazima uachwe kiboya kabisa. Be a MAN acha kulegea legea kama ww ndio unapigwa ukuni. Make it easy , slow but very very painfull when u talk.
 
Kushindwa kufokea na kupiga kisha wewe kuachwa, ni maajabu haya!

Hilo laweza kubeba madhaifu yako mengine ambayo haujayaeleza hapa, ambayo unatakiwa ujitathimini, yaani kuanzia "show" zako pamoja na huduma kwa mamsap.

Wanawake wengi katika mahusiano hawapendi kukelembeshwa kwa maneno pamoja na kudundwa, iweje kwako iwe kinyume?

Waweza kuwa mpole na "msikivu", lakini kama haujipindi kiume kutoa shoo za kibabe, ukawa mchoyo wa kuhesabu finyango za nyama jikoni, hauna stori za maana chumbani, muda wote wewe ni kimya tu hauongeleshi, "mkono wa birika",kutoa matumizi kwa mbinde, kama unazo sifa hizo yakupasa ujirekebishe pakubwa, maana upole wako kwa madhaifu hayo hutoboi.

Ukisikia mwanamme mpole kwa mwanamke, ujue ana kauli thabiti za kimahaba kwa mkewe na anampenda kwa dhati, lakini si mpole kitandani hilo ulijue!
Kama una sifa nilizozieleza hapo juu, jitathimini na uchukue hatua broda.
 
Ushawahi kubust K-vant kubwa kabla ya kwenda kufoka😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…