Ukifuatilia utakuta Camera siku hyo zilikuwa hazifanyi kazi zimezimwaHilo nalo neno, hata mie nimetaka kuuliza. Maana siku hizi camera mpk kwenye maduka ya kawaida tu zinafungwa
Kwa mkasa tunaoushuhudia wa DP World tu unatosha kufasiri hii comment yako. Ukienda Rome ishi kama waroma.Nilishasema kuwa kuna walakini kwenye huu mkasa.
Tanzania inapoteza wataalam wake kirahisi kwa sababu za compliances tu.
Kuwa mwizi mwizi utaishi, ukijifanya unataka ukaongoze malaika wanakutanguliza kabla ya muhula
Anaogopa nini sasa ina maana alijua kitu ambacho angefanywa. Au alitupiwa jini?😂Alisema walimtilia shaka Richard kwa kuwa tangu jioni alisikika akizungumza kwa sauti kubwa akiwa chumbani kwake akisema anaogopa.
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeRIP na ile nyumba yako nzuri ambayo umetumia miaka 10 kuijenga na kuishi kwa miaka 1 sasa ni mali halali ya wife wako uliyeishi nae miaka 2.
Kufa hakuna formula. Unaweza kuanguka na baikeli ukafa na aliyeanguka na ndege akapona. Unaweza kufa kwa kupigwa risasi 1 lakini kuna aliyepigwa risasi 36 akapona .Kuanguka kutoka ghorofa ya pili halafu ukafa ni kitu cha kushangaza sana unless utangulize kichwa kwanza kigonge sakafu.
Tusubiri uchunguzi.
Marehemu apumzike kwa amani.
Kwa nini wasianze na huko ktk kazi maalum alikokuwa akifanya!?Waanze na mlinzi
Kama ni kifo cha mauaji mfumo wa camera hufubazwaHilo nalo neno, hata mie nimetaka kuuliza. Maana siku hizi camera mpk kwenye maduka ya kawaida tu zinafungwa
Katoa hint tu, wewe unakimbilia "misamiati"Hii ndio inaitwa Forensic Investigation?
His last night has a story to tellAnaogopa nini sasa ina maana alijua kitu ambacho angefanywa. Au alitupiwa jini?[emoji23]
Mkuu, habari za Asubuhi. Je. Nawe unapenda kutangulia mbele yetu kuingia ufalme wa Mungu?Yesu alishanukuliwa kwenye biblia akisema hao wanatangulia:
Mt 21:31 SUV
Je! Katika hao wawili ni yupi aliyefanya mapenzi ya babaye? Wakamwambia, Ni yule wa pili. Basi Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.
Unayoijua ipoje?Hii ndio inaitwa Forensic Investigation?
Wasiojulikana...wamejulikana??last night
MIMI nimewahi kuruka kutoka ghorofa ya Pili na sikuvunjika hata kucha huo ni MCHEZO tu wamemchezea
Riki boy mzee mwenzangu wa kubet umewaza jambo[emoji1787]Gorofa 2 mtu kufa labda Afanye kama anaogelea adive kichwa kitangulieee.. Otherwise its a murder case not suicide sema bongo ndo imeishaa hiyoo!! Na kishindo cha kujitupa hakuna mtu yeyote aliesikia kweli kwa yale mazingira ya ile hotel.